hiyo team iko lig ya chini sana uko uk, hiyo team ipo national league.
japo anacheza non league matches lakini uwezo wake ni mkubwa sana,ni kwavile tu game plan ya kwanza haikuenda sawa,mbona haji mnoga alicheza vizuri naye pia anatoka non league teamMwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!.
POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika.
Soma mwenyewe hapo [emoji1484]
View attachment 2874885
Huo uwezo uliuona wewe tu au ndiyo ile formula yetu wachambuzi na watazamaji wanajua mpira kuliko kocha aliyemtoa out of the pitch ndani ya muda mfupi sana wa mechi?.japo anacheza non league matches lakini uwezo wake ni mkubwa sana,ni kwavile tu game plan ya kwanza haikuenda sawa,mbona haji mnoga alicheza vizuri naye pia anatoka non league team