Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Dar takataka inazidiwa hata na Kigali , vi nchi masikini lakini vinajitahidi kupangilia miji yao na kuifanya kustaarabika,kuvutia na mahali panapofaa mtu kuishi,Miji ya Tanzania ni mazizi ya ng'ombe na nguruwe
Acha ujinga ukufunze na utaendelea hivyo hivyo kupondea kila kitu na hapohapo umejiandikisha kitambulisho cha NIDA hamia Kigali basi nenda kachukue uraia wa Rwanda, kumbe Mwigulu hakukosea kuwaambia muhamie Burundi
 
Kuwa mkweli ,wewe kuna kitu gani kinachokufurahisha hapo kwenye hilo zizi la nguruwe aka Dar
 
Maeneo yanabadirika kwa wakati Posta ya leo sio ya 1990 amka hapo usingizini
Acha visingizio ,Umewahi fika hata Kigali ukaona ? , sasa Rwanda tu nchi ndogo na masikini wamejitahidi kutengeneza mji uliostaarabika kwanini Tanzania nchi kubwa na yenye uchumi mkubwa inashindwa ?,Huu ni udumavu wa akili .Na ndio 'tatizo s LA hii nchi
 
Dar takataka inazidiwa hata na Kigali , vi nchi masikini lakini vinajitahidi kupangilia miji yao na kuifanya kustaarabika,kuvutia na mahali panapofaa mtu kuishi,Miji ya Tanzania ni mazizi ya ng'ombe na nguruwe
Yapo maeneo mengi tu ya Dar yanayovutia.
Na pia madai yako kwamba Dar ni takataka sio ya kweli, ni vile tu unajua kupondea vitu vya Tanzania utapata support kubwa
 
Hizi si zama za mwaka 1800 huko kutoa execuse za miji kuwa michafu ,yenye plan mbovu ya makazi na majengo , miundombinu duni
Nje ya mada
Hayo unayoyasema hayahusiani na Skyline iliyopostiwa. Unataka support ya watu tu ๐Ÿšฎ
 
Acha ujinga ukufunze na utaendelea hivyo hivyo kupondea kila kitu na hapohapo umejiandikisha kitambulisho cha NIDA hamia Kigali basi nenda kachukue uraia wa Rwanda, kumbe Mwigulu hakukosea kuwaambia muhamie Burundi
Mshamba wewe ,ninyi ndio malofa walugaluga mnaokuja zizini kushangaa marundo ya matofali marefu mnayoita maghorofa , hebu niambie ni kitu gani kipo sawa hapo kwenye zizi Lenu hilo mnaloita jiji LA Dar ,acheni ulimbukeni na unafiki ,Dar ni takataka
 
Beautiful Dar es Salaam
Haters going crazy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Masaki ,upanga yenyewe mnayoongea taka taka hiyo ambayo inanuka na mitaro imeziba Maji ya mikojo na kinyesi mvua kidogo tu ikinyesha na hiyo ndio wanaishi top 1percent kwenye nchi ,imagine implication ya hilo .Masaki masaki ,rubbish tu .kwa MTU anayekaa masaki na upanga ataelewa nilichoandika na si walugaluga washamba
 
Punguza kamdomo ๐Ÿšฎ
 
Ndio maana hao mataahira wenu mnaowaita viongozi wanaowanyonya kodi ,wanawadharau na kuwakandamiza wanaona aibu na kinyaa hata kutembea kwa miguu au kuride baiskeli mitaani .Kitu ambacho ni kawaida sana nchi nyingine , sababu ni kwamba Tanzania na miji yake ni vijiji vyenye machaka na miji ,majiji fake ambayo kiukweli ni marundo ya takataka na uozo.
Na Kama unaona hiyo hali ni kawaida ,we si mzima kiakili
 
Ndio maana hao mataahira wenu wanaowanyonya kodi na kuwakandamiza wanaona aibu na kinyaa hata kutembea kwa miguu au kuride baiskeli mitaani .Kitu ambacho ni kawaida sana nchi nyingine , sababu ni kwamba Tanzania na miji yake ni vijiji vyenye machaka na miji ,majiji fake ambayo kiukweli ni marundo ya takataka na
Endelea kudhihirisha ushamba wako
 
Eti wanaowakandamiza ๐Ÿ˜‚
Umeshaanza kuponda viongozi wa CCM ili upate support ya Watz, kirahisi hivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
CCM ni takataka tu, hapa mada inahusu Dar sio CCM. Endelea kuumia
Your browser is not able to display this video.
 
Yeh msasani peninsula kwa sasa chole road inahitaji barabara 4
Nahisi wanaipanua mkuu, nimeona kwenye video ya Bertin juzijuzi, walikuwa wanabomoa pavements upande mmoja wa barabara, ni kama wanataka kuiexpand iwe njia 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ