Miji ya Ulaya mingi ni misafi na imepangiliwa vizuriHakika, wabongo wengi hawaelewi hili. Jiji linapendeza kama limepangwa vizuri na ni safi hata kama halina maghorofa mengi na makubwa, mfano Rome, Paris, Muscat
Nenda kaishi huko Kigali wewe unafanya nini hapa? Si uende Rwanda huko ukaishi usituletee usikuAcha visingizio ,Umewahi fika hata Kigali ukaona ? , sasa Rwanda tu nchi ndogo na masikini wamejitahidi kutengeneza mji uliostaarabika kwanini Tanzania nchi kubwa na yenye uchumi mkubwa inashindwa ?,Huu ni udumavu wa akili .Na ndio 'tatizo s LA hii nchi
Umesoma reply yangu ukaelewa we boya ?,kuna sehemu nimesema Cairo haina traffick jam we we ? Na kwa taarifa yako Traffick jam experience ya lagos,au Nairobi ni mbaya ya kuliko ya Cairo , sasa kwa logic yako Tanzania haikupaswa kuwa na traffick jam hizo za kipuuzi mnazo lialia nazo miaka yote ambazo zingeweza kuwa solved kwa projects kadhaa chache tu za kupanua barabara kwenye hilo zizi lenu ,Cairo ni jiji LA kitalii ulimwengu wote unajua inflow ya watalii Cairo kwa mwezi ni zaidi tena Mara kadhaa ya total inflow ya watalii kwa mwaka mzima kwenye hilo zizi lenu .Ile inward movement ya watalii wa cairo ingekuwa inakuja Kwenye hilo zizi lenu mngefunga Kabisa hilo zizi ,Source ya traffick issue Cairo ni ile constant expanding number ya watalii toka kila pembe ya dunia ,na pamoja na hilo bado wanajitahidi sana kucope kwa kuboresha system na networks za miundombinu Kama treni ,barabara nk, lakini na hayo yote bado ni traffick jams za kuhimilika tu kama Capetown na mijimingine mikubwa Africa Hii .Tuje kwenye hilo zizi lenu LA Dar mna kisingizio gani cha maana cha kufanya muwe na misongamano hiyo ya kipuuzi ya kila siku na rundo la matatizo yaliyopo hapo ambayo yanaweza Kuwa solved easily tu na watu wenye akili tumamu na basic common sense ?Kwahiyo Cairo haina foleni kisa umeuzia matako uko? Unabisha suala ambalo Egyptians wenyewe wanajua, wewe malaya wa kupita unabisha.
Mkataa kwao ni MtumwaSawa namuuzia uji mamako na babako
Dar ni maarufu kwa wawekezaji kutoka nje ya Tanzania na nje ya AfricaJiji la Dar es Salaam ni maarufu zaidi kwa nchi zinazotuzunguka kwa sababu ya bandari ila huko duniani kwengine Ulaya, Marekani, Canada n.k ukisema umetoka Dar es Salaam wengi ni mpaka wakaangalie kwenye ramani huo mji uko wapi. Utaeleweka haraka zaidi ukisema umetoka Kilimanjaro, Arusha au Zanzibar.
Morogoro was necessary here !? 😀Sio tu Iringa CBD, miji mingi tu hapa Tz haifikii Masaki kwa skyline nzuri
Kuanzia Morogoro, Tanga, Mbeya nk
Masaki ni 🔥🔥
View attachment 3562525
Nadhani huo uchumi unamaanisha GDP?Acha ujinga, Morroco sio nchi masikini.
Morocco ni nchi yenye uchumi mkubwa mara mbili ya Tanzania na ni mojawapo ya nchi chache barani Africa zenye miondombinu bora zaidi ya kila aina.
Foleni barabarani katika majiji mengi hata Marekani, Ulaya na Moscow ni tatizo ila angalau wao wana treni za abiria zinazofanya kazi vizuri na njia nzuri za watembea kwa miguu na waendesha baiskeli. Watu walioweza kupambana na foleni ni Japan, Singapore na Amsterdam.Wewe ni ng'ombe tu huna lolote kapuku mmoja. Hakuna mtu yeyote aliyefika Cairo hajui kama kuna foleni. Labda kama ulifungiwa chumbani na mumeo.
Wewe muuza uji, kengemaji tu.
By that logic, OP aliyeta picha za skyline unaona alibisha kwamba Dar ina kasoro na challenges zake?Umesoma reply yangu ukaelewa we boya ?,kuna sehemu nimesema Cairo haina traffick jam we we ?
Nimesema Cairo ina foleni sijalinganisha kitu, nyinyi mliotaja hiyo miji kwenye uzi wa Dar ndio mmelinganisha mimi nime-quote. Bila kulinganisha na Dar, je Cairo ina foleni au haina?Foleni barabarani katika majiji mengi hata Marekani, Ulaya na Moscow ni tatizo ila angalau wao wana treni za abiria zinazofanya kazi vizuri na njia nzuri za watembea kwa miguu na waendesha baiskeli. Watu walioweza kupambana na foleni ni Japan, Singapore na Amsterdam.
Ila kulifananisha Jiji la Cairo lenye lami na pavements kila mahali na Dar es Salaam lenye barabara kubwa za vumbi nyingi sana na barabara za mitaa ambazo ni vumbi tupu nacho ni kituko.
Morocco imeiacha mbali sana Tanzania kwa kila kitu kuanzia GDP, GDP per Capita, HDI(Afya, Elimu n.k) pamoja na uchumi jumuishi.Nadhani huo uchumi unamaanisha GDP?
Kama unaamini GDP nakushauri rudi shule?
Kama una sababu nyingie itaje, hapa tujadili.
Mada ni skyline, siyo maisha ya watu.Sawa hiyo skyline inahusu wachache lakini ni nzuri. Mada inahusu hiyo skyline, sio maisha ya wakazi wa Dar es Salaam
Sio kila kitu kinahusu maisha ya watu, siasa nk. Kuna watu wengi wanapenda skyline na mada specific for skyline zipo. Sikatai madai yako lakini ni nje ya mada
Unazungumzia Kinondoni Morocco au? Nyoosha maelezo vizuriMorocco imeiacha mbali sana Tanzania kwa kila kitu kuanzia GDP, GDP per Capita, HDI(Afya, Elimu n.k) pamoja na uchumi jumuishi.
Kwa Afrika ni nchi chache sana zinaizidi Tanzania kwa social capital.Morocco imeiacha mbali sana Tanzania kwa kila kitu kuanzia GDP, GDP per Capita, HDI(Afya, Elimu n.k) pamoja na uchumi jumuishi.
Cairo ina wakazi milioni 23 na inapokea watalii milioni 10 kwa mwaka. Dar es Salaam ina wakazi milioni saba, Tanzania nzima inapokea Watalii milioni 2 tu kwa mwaka, kama kuna watalii hata laki moja tu wanaofika Dar ukiacha wanaopita Airport ni bahati sana.Nimesema Cairo ina foleni sijalinganisha kitu, nyinyi mliotaja hiyo miji kwenye uzi wa Dar ndio mmelinganisha mimi nime-quote. Bila kulinganisha na Dar, je Cairo ina foleni au haina?
Umri wa nchi una uhusiano gani na mipango miji? Yale maji taka k-koo yanauhusiano gani na umri wa nchi ?HUu ni UPUMBAVU.
Nchi nyingi za Afrika zina miaka 60+ baada ya Uhuru.
Ulivyo kiazi unafananisha na nchi za Ulya zenye umri wa miaka 400 nyuma.
Pumbavuu
Nilijua utasema inapokea watalii Million 23 kumbe Million 10 tu, basi hamia Cairo ukapokee watalii Million 10 au unasemaje?Cairo ina wakazi milioni 23 na inapokea watalii milioni 10 kwa mwaka. Dar es Salaam ina wakazi milioni saba, Tanzania nzima inapokea Watalii milioni 2 tu kwa mwaka kama kuna watalii laki moja wanaofika Dar nje ya Airport ni bahati sana.
Mada ni skyline.Umri wa nchi Ina uhusiano Gani na mipango miji? Yake maji taka k-koo yanauhusiano Gani na umri wa nchi ?
Tukubali tu kwamba Watanzania suala mipango miji tumeshindwa.
Ni kweli mkuu, inapaswa tupunguze urban sprawl, Watanzania wengi wanapenda kujenga nyumba zao wenyewe ambazo huwa ni za chinichini na zinatawanyika kwa hiyo inakuwa ngumu kuwashawishi wakae kwenye maghorofa ili kupunguza urban sprawl.Maghorofa mazuri, picha nzuri, shukurani kwa kuziweka.
Dar inakua vizuri. Upanga yangu (ambayo sijakanyaga miaka 14 sasa) naangalia picha mpaka nashindwa kujua hapa wapi.
Oysterbay na Masaki nilizozijua miaka ile na za leo tofauti sana.
Napenda kuona real estate ya Dar na Tanzania inapanda kifikia viwango vya kimataifa.
Jambo moja nataka kusema, na hii si crticism wala upinzani kwa maendeleo haya, ni angalizo la common sense tu.
Ujenzi wa mji uendane na realistic demand za kiuchumi, watu wasijenge kwa fashion kutaka majengo makubwa ambayo hayana economic demand na hayataleta faida. That is not sustainabke.
Kama kuna demand, kama kuna business case, au hata kama kuna realistic projected demand, ni vizuri.
Mji wa Dar unakua kwa kasi sana, umepanua sana. Tunatakiwa kupunguza urban sprawl kwa kujenga kuelekea juu. Hili linatakiwa si hapo katikati mjini na Upanga tu, bali hata kwenye vitongoji vya nje kidogo ya mji.
Traxtion