Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Nilijua utasema inapokea watalii Million 23 kumbe Million 10 tu, basi hamia Cairo ukapokee watalii Million 10 au unasemaje?
Nikukere zaidi,
Cairo ina Airports kubwa nne za kimataifa, tatu za kiraia na moja ya jeshi.
 
Hakuna tatizo kama nyumba zitapangaliwa vizuri, hata Florida nyumba nyingi ni za chini.
 
Mada ni skyline.

Hoja ya mada inaanza na wewe, unayeona hayakuhusu.


Unamwaga maji, umechagua diwani kiazi ambaye ameshindwa kusimamia mapato ya Halmashauri.

Lini umewahi kuhudhuria mkutano wa mtaa wako au wa diwani?
Watanzania wanakasirika sana mtu akisifia chochote kuhusu Tanzania
Kama hapa nilijitahidi kuongelea skyline tu na picha nikaweka ili watu waelewe naongelea nini, nilitegemea watu watastick na hiyo skyline, nashangaa mtu anakuja kutaja sijui Tandale, maji taka sijui Frankfurt 🤦
 
Tanzania siyo Marekani.

WaTZ bado ni wafugaji wadogo, wavuvi, wacjimbaji wadogo, wakuoima.wadogo ambao bado wanaishi kama extended families.


In short, WaTZ hawana utamaduni wa kuishi kwenye Apartments.

Maghorofa ni kwaajili ya biashara na apartments kwenye urban centers kwa vvijana wanaojitafuat.
 
Nilijua utasema inapokea watalii Million 23 kumbe Million 10 tu, basi hamia Cairo ukapokee watalii Million 10 au unasemaje?
We Malaya ,elewa context ,ile population + inflow ya watalii pale Cairo Leo hii ihamie hapo kwenye hilo zizi lenu , mtaweza kuendelea na movement na shughuli za Kika siku we boya ? , tena sio ndani ya zizi dar tu ile population na tourists inflow ya Cairo pekee igawanywe kwa kupelekwa kwenye majiji fake mengine humo pia ,mna facilities ,akili na innovations za kuweza kuaccomodate hilo ?
Ukiwa na akili timamu ndio utajua wale mafarao wana tumia akili sana kumanage ile hali ,tofauti na ninyi mafala ambao hata barabara za mitaani kwenye hizo squatters za zizi LA Dar zenu mmeshindwa kumaintain achilia mbali kujenga mifumo ya maji safi na Maji taka
 
Sijui unaongelea vitu gani ila Morocco uchumi wake unategemea zaid sekta ya Kilimo, Morroco ndio wazalishaji wakubwa zaidi duniani wa mbolea ya Phosphate, wana viwanda na wana utalii.
Unaweza kuona tu nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda zimejichanga ndio zimeweza ku host Afcon ya 2027 na ndio kwanza zinajenga viwanja na bado zinasuasua, kuna mashaka kama wataweza. Morroco wao wana viwanja Tisa vya kucheza Afcon, ukiwapigia simu wakati wowote wako tayari.
 
Hakuna tatizo kama nyumba zitapangaliwa vizuri, hata Florida nyumba nyingi ni za chini.
Miji ya Marekani mingi inakuwa criticized kwa extreme urban sprawl (miji kama Los Angeles, Phoenix, Houston nk)
Tena bora sprawl ya huku ambayo miji inasambaa na huduma zinafuata makazi hukohuko, mji kama Houston maeneo mengi unahitaji gari kwenda, hata kununua mkate.
Mimi binafsi sina shida na sprawling cities lakini nina support kuhusu kupunguza urban sprawl kama result yake inafanya maisha ya wananchi magumu, especially wanaopaswa kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma
Miji inapaswa ku sprawl taratibu
Ila kwa Tanzania silaumu sana, nature ya maisha yetu na ujenzi wetu huwezi kuzuia sprawl, cha msingi wazingatie kupima maeneo, na miji ipangiliwe vizuri
Kenya hawana sprawl kubwa sana kwenye miji yao na ardhi yao ni gharama matokeo yake slums zimezagaa kila mahali. Watu hawawezi kuafford ardhi wala apartments
Bora USA wana mortgage
 
Shida ya Tanzania ni ukosefu wa mipango miji wala sio mtawanyiko wa watu, hata maeneo watu waliyorundikana kama kumbikumbi na maghorofa yao bado miondombinu ni mibovu sana na huduma za miji ni mbovu, angalia watoto wa Dar es Salaam wanvyoteseka kwenda shule, wengi wanaamka saa kumi na moja ili waweze kufika shule.
 
Kuhusu duniani ni uongo.

Morocco ana reserve kubwa ya Phosphate na anaitumia vizuri.

Lakino pia ana viwanda vya assembly za magari, plus Utalii.

Hivi vitu ukiangalia vimeanza akulipa miaka ya karibuni na siyo kwamba ni so special sana kuzidi Tanzania.
 
Sasa huoni shule ziko mbali kutokana na hiyo urban sprawl
Ukijumlisha na foleni lazima waamke saa kumi na moja
 
Hizi mada zeny mnachanganya sana mafaili.

Mmetoka kwenye skyline, mmedandia MIPANGO MIJI, MAGHOROFA na sasa PUBLIC TRANSPORT
 
Sawa. Cairo ina foleni au haina????
 
Wewe unatakaje? maana nakuona unazungukazunguka tu hutoi muelekeo wowote ule wewe ulikua unataka nini kifanyike? na uonyeshe kabisa fungu lako la pesa za kufanya hivyo sio unabwabwaja tu halafu huna directions zozote inakua haina maana sema hapa nina Trillion 800 nataka niipe Serikali km sadaka iboreshee mipango miji tutakusikiliza huna basi hapa ni sawa unamfundisha Nguruwe kuimba tu
 
Cairo ina wakazi milioni 23 na inapokea watalii milioni 10 kwa mwaka.
Egypt inapokea watalii wa Kihistoria. Pyramids.

Tanzania utalii wake bado unakuwa.

Tanga, Sourthern Hoghlands na Kusini hakujafunguliwa kimiundombinu.
Dar es Salaam ina wakazi milioni saba, Tanzania nzima inapokea Watalii milioni 2 tu kwa mwaka, kama kuna watalii hata laki moja tu wanaofika Dar ukiacha wanaopita Airport ni bahati sana.
Suala la watalii bado linahitaji promo, nje ya Mlima Kilimanjaro, Serengeti na Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…