Watanzania wangapi wanaingia hapa JF na kuziona hizi Takwimu?
Any way, unaweza kusema ni almost watanzania 20,000. Je katika hao wangapi ni wapiga kura i.e wamejiandikisha na wanashahada za kupigia kura?
Lets be realistic.
Kuwa na mgombea makini hakumaanishi mafanikio katika utawala. Ni wale maaskari wa miamvuli na infrastructure of governing ndio vinawezesha utawala bora. Pia, kuwa mtunga sheria na kuwa CEO wa nchi ni vitu tofauti. Also, nini sera za Slaa katika kilimo, afya, viwanda, usafiri--and how are they different from CCM. Haya ndio maswali ya msingi babu.
Akiacha ukware nitampa kura vinginevyo ikulu si pakukaa mabachelor na wabeba wake za watu