Elections 2010 Slaa achaguliwe tu mwaka huu. Cheki contribution yake.

Elections 2010 Slaa achaguliwe tu mwaka huu. Cheki contribution yake.

Watanzania wangapi wanaingia hapa JF na kuziona hizi Takwimu?

Any way, unaweza kusema ni almost watanzania 20,000. Je katika hao wangapi ni wapiga kura i.e wamejiandikisha na wanashahada za kupigia kura?

Lets be realistic.

Wengine huwa tukiziona hizi issue tunazifoward kwa ndugu na marafiki!!!!
 
Akiacha ukware nitampa kura vinginevyo ikulu si pakukaa mabachelor na wabeba wake za watu
Wewe inaelekea auna dhambi tena wewe inaelekea ulirusha mawe kipindi cha maria magdalena.:glasses-nerdy:
 
Kuwa na mgombea makini hakumaanishi mafanikio katika utawala. Ni wale maaskari wa miamvuli na infrastructure of governing ndio vinawezesha utawala bora. Pia, kuwa mtunga sheria na kuwa CEO wa nchi ni vitu tofauti. Also, nini sera za Slaa katika kilimo, afya, viwanda, usafiri--and how are they different from CCM. Haya ndio maswali ya msingi babu.

Soma ilani ya CHADEMA iko wazi mtandaoni. Wananchi wameipokea baada ya kuielewa
 
Huyu Rev Patel Aangalie hizi facts attached.
 
Back
Top Bottom