Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?


Duuh!.mjomba mimi ni ccm ila wew umenichosha!.unamkebehi mtu aliyesaidia kutufumbua macho na Tanzania iliyokuwa imelemewa na ufisadi,au ndo nyie mnaonunuliwa na ccm kofia na tshirt mnaridhika?.Acha upuuzi wewe mtu mzima,huo muda unaotumia kufikiria upumbavu,jaribu kufiria ni jinc gani 2takitengeneza chama kijiandaa 2015.
 
u don't have to start a thread if you don't have a burning issue .......................Please do not waste our cyber space, it is money and we must value it. U are not different from Fisadis in this regard .......... :A S angry:
 

Una ushahidi wa unayoyasema? Unataka kuniambia majimbo yote waliyoshinda CCM yametangazwa kabla ya hayo wanayoshinda Chadema? Mbona jimbo la Ilala limechelewa kuliko hata majimbo mengine ya Dar es salaam?

Endelea kuota kuwa Slaa atashinda Urais. Wenzio wote kwenye ukumbi huu washaachana na hizo ndoto za Alinacha! :A S angry:
 
Kazi ya kwanza atakayo tufanyia ni kuwaongoza watanzania kudai katiba mpya, tena tutaidai kwa shinikizo kama mlivyo shinikizwa mkashindwa kuchakachua matokeo ya ubungo, kawe, mwanza. iringa, nk. Mtashinikizwa mpaka muachie tupate katiba mpya. Upo mpaka hapo au? Mtashinikizwa mtoe elimu na afya bure, maslahi bora kwa wafanyakazi, safari hii hamtalala usingizi wa amani mpaka mmewatendea watanzania haki.
 
Swali la kipumbavu sana. Mie nadhani atakuja kukuchakachua wewe na mkeo kama umeoa.:hippie:
 
Slaa arudi kanisani au kulima, kwa sababu hana elimu ya kuajirika tafauti na Prf Lipumba na wengineo, Elimu yake ya kuifadhi bibilia hakuna mtu atmpatia kazi yeye na mwenyekiti wake mbowe

Slaa kaongoze kondoo wako wanazidi kupotea na hapa jf ndi wanao ongoza kwa matusi, kama wewe sio member wa chama cha walokole, utashiba matusi hapa jf. badala ya kujadili hoja wanruka na jazba.
 


" kwa ufahamisho wako bibilia hai hifadhwi. Udaktari wake ni wa kweli sio hao wakwenu waliokua vilaza shuleni halafu wanashabikia udaktari wa kuhongwa na wano jipendekeza kwao. Kama wewe sio kilaza utasaini vipi sheria bila kuielewa na kuisoma, poleni." Kila dakika DR fulani, taabu kwelikweli udaktari wenyewe wa kupewa si wakusomea.
 

Ataanzisha kanisa la kUtoa MISUKULE
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Jamani mbona mumekuwa na hasira kiasi hicho!.Mumekuwa kama sio wana JF halisi!.
Ni maswali mazuri,na katika hali kama hii ni mambo ambayo lazima yajadiliwe.Isingekuwa hivyo basi sifa ya wana JF wala isingekuwepo.Ingekuwa matarajio ya kila mmoja wetu ni kuja kupata taarifa za mrengo fulani tu,wala tusingeingia humu na ile sifa ya JF kuwa inaongoza kwa hits kati ya mitandao ya kijamii Tanzania isingekuwepo.Kinachonishangaza tu ni wapi hii JF inapata pesa ya kujiendesha ilhali haitumii hizi hits kushawishi watu kuleta matangazo yao kama kule kwa Michuzi.Jee ile dhana kuwa JF ni kitengo cha Chadema ina mashiko?.

Kuhusu dkt.Slaa hatokuwa na moyo wa kuendelea na chochote katika chama.Yeye fani yake ni kupasuwa mabomu anayorushiwa bungeni.Aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kudhani angeshinda tu.Hakujuwa kuwa siasa za kidemokrasia hazitabiriki.Vile hakujuwa ukubwa wa Tanzania na watu wake.
Tofauti na Lipumba dkt.Slaa atadhoofika sana kiafya.Ni muhimu mashabiki wake wamuwache ajirudi kwa namna zake mwenyewe na muhimu ni hilo pendekezo la kumtafutia mke mzuri mapema ili awe maliwazo kwake.Yule Josephine ajifanye kama hamjui vile,si msichana wa maana.
Pamoja na yote hayo mimi nauliza Dkt Slaa angekuwa raisi Ingekuwaje?
 

Nisamehe, lakini nataka kusema yawezekana au sidhani kama anayo hiyo ofisi yenye hadhi ya kupewa ushauri na Dr(Phd).
 


Sipendi kutukana, wala sipendi kubishana na mtu sipendi, lakini nakuomba nikuulize nikisema we mchawi vipi manake naona unataka kudhoofisha afya ya mtu, au Kirusi cha Ukimwi nini? Aaaah ngoja tu niache nenda kajifunze kiswahili Mumekuwa ndo nini?, nataka nisiseme kitu lakini najikuta nasema "Hivi umejua je Josephine si msichana Mzuri sijui wa maana, Hebu sema ilikuwa je mpaka ukagundua si msichana wa maana.

Anyway.............. Why do I waste my time with this...........
 


absolutely and utterly ridiculous!!!!!!
 
Wewe unaonekana ni mvivu wa kufikiri na haujijui. unajua maana ya Phd? walio nazo hapa tanzania wanauza kuku? si nakuuliza? Waliokutuma waambie wakupe upuuzi mwingine wa kuuliza tena. Kwa taarifa yako Dr. (Phd) Slaa ni jembe ulaya linalima hadi kokoto.
 
Mimi nadhani atarudi kuwa padri, kwani alidhani Tanzania ni ya yesu,na atafanya ujasiriamali ndani ya Karatu,mmh Slaa mjomba huwezi biashara za JUMLA,Bora ungebaki katika REJAREJA,CCM huiwezi kuna mbinu 10,na hata moja haijatumika,uhakika CCM ni kiboko
 
Hujui tofauti ya PHD na Dakta. Ana mengi ya kuwafanyia wananchi na Atashinda kama hutaki kamuulize kikwete Msoga
 
Nina wasiwasi na wewe tene nahisi ni Mwl kutoka UDOM. Hivi hujui kuwa slaa ni PHD holder,he has a lot to du kwa wananchi masikini na makini. Hivi hujui hata Dakta(Si jui ya nini) JK anamuogopa huyu jaamaa ni kwasababu hi always read btn the lines. We unaesema ataenada kanisani kuwa padri u must be having a problem kama sio umasiki,akili au hujui uko dunia ya wapi.
 

Atakuwa akitindua kinu kwa raha zake!Si unamjua Dr.alivyo!
 

Red area is nonesense Kweli hii nchi iko na uhuru mkubwa other wise usingeleta mjadala huu hapa!!!!!!! nimekusamehe siku nyingine usirudieeeeeeeeee:doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…