Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.
Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?
1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika wayalipue bungeni?
2. Atamsaidia aliyetarajiwa kuwa first lady kuendeleza NGO yake?
3. Atarudi church?
4. Atasubiri mbunge aenguliwe na mahakama au afariki (Mungu aepushie mbali) ili agombee?
5. Atarudi kulima vitunguu Karatu?
Tafadhali tujadili ,,, bila matusi!!!.
Duuh!.mjomba mimi ni ccm ila wew umenichosha!.unamkebehi mtu aliyesaidia kutufumbua macho na Tanzania iliyokuwa imelemewa na ufisadi,au ndo nyie mnaonunuliwa na ccm kofia na tshirt mnaridhika?.Acha upuuzi wewe mtu mzima,huo muda unaotumia kufikiria upumbavu,jaribu kufiria ni jinc gani 2takitengeneza chama kijiandaa 2015.