Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

kesho tu mtasikia tunaenda mahakamani ...am waiting
 
Kwani nyie huwa mnakaa kwenye viti? si huwa mnakaa chini kama funza?
 
Mi nasubiri majibu ya makamba kuhusu hili..watamjia juu leo we ngoja tu!
Unajua tatizo kubwa ni nyaraka toka CCM ndo ime-reveal hilo, hapo Makamba akiingia kichwa kichwa ataharibu hivihivi
 
matundu manne ya shimo sh milioni 700 duh kweli tutafika safari yetu ya maendeleo?
 
watu wengi ni kuanzia wangapi?
 
Vipi elimu bure na ze simenti na ze nondo maana hii imekuwa mwarobaini wa ccm kama jini na nguruwe?
 
Tunaomba sana, maana Slaa amesema ukweli juu ta TBC, Kweli kuna kazi nzuri sana
 
mbunge wa chadema anamwita rais kikwete hana adabu? Kazikweli wamemwamkia kikwete leo wote
 
Update zaidi wakuu, naona mambo MwembeYanga inazidi kuandika Historia, inabidi tujenge mnara mkubwa hapo na kuweka sanamu la wapiganaji wa ufisadi kama Dr Slaa.
 
mimi bado niko job lakini nasikia matangazo yamekatwa
 
mimi bado niko job lakini nasikia matangazo yamekatwa

Acha wakate lakini wajue, hukumu iko njiani. Magazeti yanayopendwa sana kesho yatapeleka habari. Acha wakatishe matangazo, si wanafaidika na ufisadi wa kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…