Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Yahani tarehe ya kumtangaza dr wa ukweli ukweli kuwa raisi wa tanganyika?
hiyo sio namba ya position ya Dr Slaa kwenye karatasi ya Kura?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahani tarehe ya kumtangaza dr wa ukweli ukweli kuwa raisi wa tanganyika?
Mkutano wa DR W P SLAA LIVE TOKA MwembeYanga
Nawakaribisha katika mkutano wa Mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema DR W P SLAA unaofanyika hapa Kwenye uwanja wa Mwembe yanga watu wamejaa kweli kweli , kumefurika na kutia fora Kuna watu wa aina mbalimbali hapa kuanzia wazee , vijana na wale watu wakati , kuanzia wamachinga mpaka wauza mitumba walioacha biashara zao kwa muda kwa ajili ya kuja kumwona dr slaa akinadi sera zake uwanjani hapa
Kwa wale walio mbali na maeneo haya wanafuatilia mkutano huu wanaweza kutazama TC1 Kuanzia saa 9 Kamili , wengine wanaweza kufuatilia kwa njia ya mtandao kama hii .
Kwa wale wanaopenda kuchangia Kampeni hizi wanaweza kutembelea blogu yetu kwa anuani www.marafikiwaslaa.blogspot.com kama una habari zaidi unaweza kututumia kupitia friendsofslaa@gmail.com
Wale wanaopenda kuchangia mkakati wa kutengeneza vipindi vya TV vinavyoendelea kurushwa kwenye vituo mbalimbali vya TV na radio wanaweza kuchangia kupitia namba
+255766334049 MPESA
+255786806028 ZAP
Kama unataka Fulana za DR SLaa na Kofia zenye sahihi yake wasiliana na 0714 667026
Hii kaua sana, choo kimoja cha matundu manne tu tena cha shimo kwa Tshs 700,000,000/=?Dr. Anaua hapa dah ni soo!
Wakuu,
Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.
Aidha, baadae atakuwa LIVE katika televisheni ya Agape kuanzia saa 1 jioni.
Mkutano wake leo umejaza watu wengi sana huko Zanzibar tofauti na wengi mnavyoweza kudhani, nitawaletea picha za Zanzibar hali ilivyokuwa.
Naona kaamua kumjibu Kamala, si mchezo. Anasema hahitaji PhD ya uchumi kujua hali halisi ya wananchi wake.
Mi nasubiri majibu ya makamba kuhusu hili..watamjia juu leo we ngoja tu!Hii kaua sana, choo kimoja cha matundu manne tu tena cha shimo kwa Tshs 700,000,000/=?
Inafikirisha sana