Umati uliofurika unatisha. Ni maelefu kwa maelfu. Vuvuzela za wapinzani wake zilipigwa ili watu wasisikie vizuri lakini wapi, watu wamekomaa tu. Ama kweli Slaa anapendwa.
Baada ya kumaliza hotuba hiyo fupi ili awahi Iringa, alienda moja kwa moja uwanja wa ndege ambako helkopta yake ilitua. Cha ajabu, ilicheleweshwa kuruhusiwa kwa sababu zisizoeleweka. Mashabiki wa Slaa wakamfuata hukohuko kwa pikipiki, baiskeli, mguu, nk. wakiimba SLAA, RAIS, nk Mara helkopta ikaachiwa, akaruka huyooo Iringa. Wana wa Iringa tupeni za huko, ameshafika?
"Sisi wagogo, tumemvisha nguo ya kigogo na kumsimika kama MTEMI, tutalinda kura zetu, hata iweje; mzee mmoja anasema.
Jamani tumwombe Mungu, DEMOKRASIA itende kazi yake.