Elections 2010 Slaa Balaa tupu Dodoma

Elections 2010 Slaa Balaa tupu Dodoma

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
678
Reaction score
47
Umati uliofurika unatisha. Ni maelefu kwa maelfu. Vuvuzela za wapinzani wake zilipigwa ili watu wasisikie vizuri lakini wapi, watu wamekomaa tu. Ama kweli Slaa anapendwa.

Baada ya kumaliza hotuba hiyo fupi ili awahi Iringa, alienda moja kwa moja uwanja wa ndege ambako helkopta yake ilitua. Cha ajabu, ilicheleweshwa kuruhusiwa kwa sababu zisizoeleweka. Mashabiki wa Slaa wakamfuata hukohuko kwa pikipiki, baiskeli, mguu, nk. wakiimba SLAA, RAIS, nk Mara helkopta ikaachiwa, akaruka huyooo Iringa. Wana wa Iringa tupeni za huko, ameshafika?

"Sisi wagogo, tumemvisha nguo ya kigogo na kumsimika kama MTEMI, tutalinda kura zetu, hata iweje; mzee mmoja anasema.

Jamani tumwombe Mungu, DEMOKRASIA itende kazi yake.

slaa_dodoma.jpg
 
Hapo hamna mdundiko, taarabu wala malori, watu wamekuja kwa hiari yao.
 
People's power...!!
Vote for Dr W.P. Slaa come October 31st,2010!
 
tuko pamoko thax for the report

Aidha, amewashukuru wanafunzi wa VYUO VIKUU waliokuja na mabango (tazama moja ya mabango kwenye picha) yakisema, Tunakuamini, tunakupenda Dr. Slaa.....naye, kwa upole akawageukia, akawaambia, VIJANA WANGU NAWAPENDA PIA....ina tachi sana.
 
The time for true change has come.. Let be part of that change!!!

Let make the history of this Lovely country Tanzania

Let write the new chapter of democracy in Tanzania

Tanzania!!!!! One Country!!! One people!!!!
 
Kwakweli ni kuomba mungu na kuwa wajasiri. Babu zetu walikufa wakidai haki kwa ajili yetu. Tutete haki za watoto wetu, demokrasia
 
Aidha, amewashukuru wanafunzi wa VYUO VIKUU waliokuja na mabango (tazama moja ya mabango kwenye picha) yakisema, Tunakuamini, tunakupenda Dr. Slaa.....naye, kwa upole akawageukia, akawaambia, VIJANA WANGU NAWAPENDA PIA....ina tachi sana.

Duh! :A S cry: YES WE CAN 😛eace:
 
Nasikitika sana iringa kachelewa mbaka kashindwa kuhutubia ila nasikia wanafanya taratibu ili wafanye kesho. Hata hivyo huku umati mkubwa ulikuwa ukimsubiri kwa hamu mno.
 
NEC na jaji makame please hear the cries of the oppressed! ensure their voices are heard on the ballot box
 
ppipo youuuuuu!!!! hahahaaaa CHADEMA watu weweeeeeeeeee!!!!! CHADEMA abhandu ughweeeeeee!!!
hakuna kutusuia bhatu ba sasa bhenye akili nsuri sasa tumeamua Slaa kuwa raisi yetu
 
Walokole ! kazi tunayo, jf sasa imeingiliwa na kondoo wa bwana Slaa waliopotea !!!
 
kama DOM imekuwa hivo sijui MBY itakuwaje tar 30, maana huko ndo wakereketwa hasaaa!!!! God bless this election, tuwe na uchaguzi wa amani na utulivu
 
Okotba 31, 2010 haiko mbali... Baada ya hapo ndipo mambo yatakuwa hivi: :tape:
 
hapa lazima NEC ikubali matokeo tu. hakuna kuremba.

Tatizo ni kwamba NEC hiyo hiyo inao wapiga kura feki na vituo feki vya

kupigia kura. Nadhani ndio sababu viongozi wa CCM wamekuwa wakisema mikutano ya Slaa kuhudhuriwa na wengi sio kitu. Ali Mkumbwa wa Daily News alipodai LAZIMA CCM ishinde alijua wanafanyaje.

Ila sidhani mwaka huu Watanzania watakubali thulumati za CCM.
 
Back
Top Bottom