GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
- Thread starter
-
- #41
Umeona wapi ushahidi kuwa wanakusanya TZS 400bn kwa mwezi za kodi?
Wewe pia hukuleta data zaidi ya kusema ulisikia ajira zimepanda, mfumko wa bei umezidi.Acha kubisha kitu ambacho kama hukijui, haya lete ww data zako basi ! jibu kwa hoja na data sio maneno, kama uwezi wahi jikoni ukakate nyanya mama anakuita ukamsaidie
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi
Ccm ni genge la watu duni , ambao kwao wanamuona Tambwe hiza ni role model, usishangae kuona wanaongozwa wa wajinga humu kwenye Jf.
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Mapato ya kodi yanaweza kupanda pia ikiwa ukwepaji na ulaji wa kodi umepungua sio lazima uzalishaji umeongezeka..
Hiyo siyo point ya uchumi ndiyo sababu Slaa hakuisema. Ungetuletea pia jina la huyo mchumi aliyesema hilo ili tujue ana nafasi gani kwenye serikali yetu. Inawezekana hii ndiyo sababu hali ya uchumi wetu ni mbaya kutokana na idadi ya wachumi wengi wa design hii. Ingawa mimi si mchumi, ila hutakiwi kusoma uchumi ilikuelewa hili. Nafikiri point hukuielewa vizuri.
amakweli chama cha wajinga na maskini .Umeisha sema ww sio mchumi, kaa pembeni huu ni uwanja wa watu wanao jua uchumi. Kutokana na kutojua kwako ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mkuu, ulioni hilo ww ?
....hizo ni theories ambazo practicability yake haipo hapa TZ!!! jamaa alitoa possible causes za inflation in general ambapo ali-mention kama 5 bila ku-sight Tanzania. Then akahisi zipi zinaweza kuwa ndio sababu hapa Tanzania.
Pia, asipo-comment kitu Slaa (PhD), njia ya haja kubwa inakuwasha? Wanaolalamikia sky-rocketing inflation Tanzania ni Slaa (PhD) peke yake?
Afadhali yako wewe usiyeguswa na inflation ya Tanzania ambaye ukienda sokoni unaonyesha kadi ya CCM then unapata discount.
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi
amakweli chama cha wajinga na maskini .
Hao ndio washauri wa uchumi wa CCM. Wanataka kuvumbua, kimabavu, sababu mpya ya mfumuko wa bei! Sawia na kujivua gamba nusu nusu - unaondoa mwilini kichwa unaacha!
.... asipo-comment kitu Slaa (PhD), njia ya haja kubwa inakuwasha? .
Hivi mbona watu wanashangaza! Unawezaje kuongeza ajira halafu uzalishaji ukapungua? ARE YOU SERIOUS? Kila unapoongeza ajira mpya tegemea ongezeko fulani la uzalishaji. Huwezi kusema tumeongeza ajira wakati hali ilivyo sasa OUR GENERAL CONSUMPTION EXCEED OUR PRODUCTION. Ndio maana tunagombania mikate, sukari, cement na vinginevyo kwenye retail trading. Kama tukiongeza ajira tunamaanisha kuongeza uzalishaji