Slaa hili mbona hulisemei?

Slaa hili mbona hulisemei?

Inflation simply is too much money chasing a few goods. Yaani pesa nyingi kwenye mzunguko wakati uzalishaji ni mdogo. Hivyo mwenye fedha analazimika kununua kwa bei ya juu kwa sababu bidhaa ni kidogo.
Sasa sababu za kuwa na fedha nyingi kwenye mzunguko ziko nyingi. Mtoa hoja anataka kutuaminisha kuwa ajira imeongezeka na hivyo kusababisha kuwepo kwa fedha nyingi lakini hajiulizi hawa walioajiri wanawalipa kutoka wapi iwapo uzalishaji hakuna? Kwa mwajiri yeyote aliye makini hawezi kuajiri wakati uzalishaji hakuna, hivyo kuongezeka kwa ajira hakuwezi kusababisha inflation. Kwa Tanzania uzalishaji mdogo umesababishwa na tatizo la umeme, ufisadi (fedha ambazo zingewekezwa zimeliwa na chombo husika (BoT) kushindwa kutumia monetary measures ku-control inflation.
Tatizo la ufisadi ni kubwa kwani limesababisha ajira kutokwenda sambamba na labour-force. Mafisadi wanawekeza nje hivyo ajira zinatengenezwa nje, kodi kidogo inayokusanywa kwenye migodi inasababishwa na 10% ambayo wakubwa wanaiwekeza huko huko nje - je ajira local zitatoka wapi? Viwanda tulivyobinafsisha vingi havizalishi tena, mashine ziling'olewa na kupelekwa nje hivyo kutengeneza ajira nje na kudumaza ajira za ndani - haya yote yansababisha uzalishaji mdogo.
Hivyo mkuu anayesema ajira zimeongezeka kiasi cha kusababisha inflation has to think twice!

Hoja zako zime base kwenye ajira ambayo ni rasmi, kumbuka definition ya ajira ni kubwa zaidi ya hiyo unayoifikiria, wewe umeji confine kwenye very narrow definition of employment
 
Daah hii thread noma Naona kuna haja ya kutafuta data kabla ya kuchangia chochote. Ebu kwanza nitarudi baadaye

Bora ww ume declare mkuu, watu wengine humu wameivamia hoja hawana lolote pumba tu badala ya data
 
Umeisha sema ww sio mchumi, kaa pembeni huu ni uwanja wa watu wanao jua uchumi. Kutokana na kutojua kwako ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mkuu, ulioni hilo ww ?

Hahahaaaaa ......... Wewe kweli GB, ndiyo maana mgumu kuelewa!!! Mbona wewe siyo mchumi umo humu unajadili??? Some things need common sense!! Like this one...................... No wonder people think that you went through those kind of schools!!!
 
Mwenye thread hii mpompompo wa uchumi na uelewa wa mambo... jivue gamba lililoko ubongoni mwako.
 
Wewe ndio elimu yako ina walakin, kuongezeka kwa ajira kunaongeza purchasing power ambayo inaongeza money circulation hence inflation.
Nina wasi wasi na mwl wako wa uchumi kama hata point ndogo hivi inaleta shida, go back to the basics of economics

kuongezeka kwa ajira lazima kuendane na kuongezeka kwa pato la taifa. maana yake ni kuwa watakaofanya kazi watakuwa wanazalisha kwa hiyo net disposable income inaongezeka proportional na production in goods and services. na hapa ndio tunaposema uchumi umeongezeka. maana kunakuwa na uzalishaji na pia watu wanakuwa na disposable income
Lakini kwa sera za JK za kuchukua pesa benk na kugawia wakina mama with no Control, ati mikopo rahisi. Wizi wa mabilioni ya pesa za umma unaoingiza pesa kwenye uchumi bila uzalishaji na watumishi hewa au wasiozalisha waliopo serikalini ndio vinavyosababisa imbalance kati ya production na money Circulation.
 
Gamba la udini + ukabila + ukanda wa CDM nalo latakiwa kuvuliwa, soma maneno aliyosema Prof. Safari siku anakabidhiwa kadi ya CDM

Suala la mfumuko wa bei na sababu zake linafaamika kitaaluma. Kama unataka kuongeza sababu nyingine mpya ni vyema. Andaa proposal ufanye research uje na hiyo theory yako na proof (wengine wameita data). Kung'ang'ania CDM na Dr Slaa kwenye hoja yako, ya sababu mpya ya mfumuko wa bei, haitakusaidia kamwe.

Kuhusu gamba la CDM, ningekuwa wewe ningefanya kitu rahisi zaidi - achana nao na udini wao na ukabila wao! Wewe tafuta njia ya kutuamisha kuwa mfumuko wa bei waweza pia kusababishwa na ongezeko la ajira, na kwamba hilo ndio linalotokea Tanzania leo!
 
Hahahaaaaa ......... Wewe kweli GB, ndiyo maana mgumu kuelewa!!! Mbona wewe siyo mchumi umo humu unajadili??? Some things need common sense!! Like this one...................... No wonder people think that you went through those kind of schools!!!

Duh ww kweli ndio maimuna , unaonyeshwa jua mjana unaulizwa ni nn hicho unasema huo ni mwezi, rudi shule mkuu
 
My God, kwanza kwanini Dr Slaa tu. Tena inaonekana unamuita Padri (Walewale). halafu hiyo comment mbona haina maana yoyote, au una maana wameprint more money (CCM na IDD Amin principle).

Inaonekana ukilala unamuota Dk Slaa, Kilakitu Tanzania Dk Slaa, Wewe unasema nini?

Mfumuko wa bei unaweza kusababishwa na growth ya GDP au Percapital. Kama kuna ongeze la ajira basi waulize wachumi. Ongezeko la ajira lisilo na tija ndilo linaloweza kuharibu mfumo wa bei, na sio sutanable.

Ngoja niwaachie wachumi. Ila tuache mambo ya udini then we can think beter:drum:
 
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

GeniusBrain, Dokta Slaa anajua na ningemshangaa kama angekurupuka kujibu hoja ya kitoto kama hiyo.

Mimi ni MCHUMI na si kweli hata kidogo kwamba kuongezeka kwa ajira 'eti' huwa kunaleta mfumuko wa bei, Yapo maelezo marefu ya kichumi ninayoweza kutoa hapa lakini sidhani kama watu wana muda na interest ya kusoma lakini kitu kimoja lazima nikiseme tena kwa msisitizo, KUONGEZEKA KWA AJIRA KATIKA NCHI NI KIASHIRIA CHA UCHUMI KUKUA, WAKATI MFUMUKO WA BEI UNAOZIDI ASILIMIA SITA SABA NI KIASHIRIA CHA KUPOROMOKA KWA UCHUMI WA NCHI, haiwezekani ajira zikawa zinaongezeka na (kwa hiyo uchumi unaimarika) wakati huohuo tukawa na mfumuko wa bei kama tulionao sasa
 
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

Malaria Sugu kweli aliyekuroga kafa na kamwe huwezi pona.
 
Ila simshangai huyo Mchumi aliyetoa hizo takwim. kama raisi mwenyewe hajui ni kwa nini watanzania ni masikini, mtanzania aliyesomea shule ya kata atajuwa kwa nini kuna mfumuko wa bei. pengine naye kahudhuria kwenye vikao vya wanaomdanganya JK naye wakamdanganya pia. bila kujuwa akaenda kumwaga uozo kwenye vyombo vya habari. Otherwise ni walewale mamluki wa CCM kazi yao kumislead watu makusudi
 
Jamani acheni kupoteza muda wenu kubishana na huyu jamaa wa maandishi ya kijani. Hamuoni kama anamwaga pumba tupu?. Please Use your time productively
 
Niliwai kuona thread humu ndani kuwa jina nalo linabeba maana flani. Baba hujitambulishi kwa mwanao,atakujua tu.

sasa hapa maana ya geniusbrain ni ukilaza ama?

ukiwa mtaani unaona kabisa watu kazi hawana,ndio maana hata mie hapa nabembeleza ajira japokuwa kuna kero nyingi. Ukiwaona machinga wanavoangaika ndio utajua,yale machinga complex wamejijengea wao,vijana bado wapo mtaani tu...Sasa hizo ajira anazozungumzia huyu ni zipi? za wale wakazi wa masaki ama? maana hata wanaofanya kazi viwandani watakuwa wamepigwa redundancy kwani umeme unapatikana kwa masaa machache kwa siku..

Kwenye kilimo ndio hivo tena upande mkubwa wa tz unakabiliwa na ukame na washatangaza njaa; sijui hizi mvua za kushtukiza kama wataambulia kitu.

au unamaanisha mfumuko wa bei unaletwa na kinyume ya hayo unayofikiria;mfano mgao wa umeme,kupanda kwa mafuta,kushuka kwa thamani ya shilingi,ukosefu wa ajira??? Maana naona kuna watu inabidi wasaidiwe kufikiria, ni -ve thinkers.
 
Nadhani we ndo maimuna wa yote huwa unakielewa anachokiongelea na kukiongea? "A narrow minded person has an open mouth"
 
Mleta thread,kumbuka uchumi ni profession. Tangu enzi za industrialization uchumi ulitenganishwa na siasa. Ikumbukwe kuwa hapo zamani za kale watu kama wewe walianza usanii wa kuleta uchumimix na siasa,wachumi wakasema no tutenganishe,tukatenganisha. Nikifikiria thread yako naona wazi kuwa hata wewe hauamini usemacho japo umepost tu ili uwaudhi weledi wa uchumi,wagathabike watukane ili wewe ufuraie matusi. Nakuhakikishia kuwa hata ukienda pale jangwani sec.ukamtafuta mtoto wa darasa la 13/or f6 umweleze kuwa 'bwn ajira zikiongezeka uchumi unakufa' haraka haraka atajua unamkejeli. Mkuu kama utanii basi unaitaji free tuition. Mfano tu,tufanye kampuni ina milioni1 net capital,una wafanyakazi 5,kila mtu anakula laki p.m,na kila mtu anazalisha lak5p.m,holding other factors neglible, mwisho wa mwezi kampuni itazalisha 2.5 p.m less salary 0.5,then 2.0m/=holding other factors equal,kampuni kutoka net investment 1m mpaka 2.0m/=itakuwa imepanda au kushuka? Najua umeleewa,ok,naona umejibu,KUPANDA hapa tiki. Genius brain,panua ubongo ufanye mfano uwe kitaifa,let kampuni=>country, wafanyakazi=>ajira, net capital=>pato la taifa invested,ajira,formal let say lak3.5, Zidishia alafu uangalie net profit itakaaje! Then kumbuka kuna vitu vinaitwa demand and supply theories,tumbukiza humo,then trade cycle,weka tu,then population and development,then MONEY SUPPLY theories, then monetory policy,then export and imports/trade balances, twende financial leverage, tuje employment levels,njoo government a/c,shuka budgetary system,njoo government expenditure,ingia Types of inflation,relate na Population and development,relate them ALL,alafu uileze JF kuongezeka kwa ajira kunaletaje hyperinflated Economy??? Lengo langu si kukuchosha nakumegea vitu vidogo vidogo ili twende sawa. Mkuu kama unafanya masihara utuambie ili tusiendelee kumpigia mbuzi gitaa,kumbuka wenzio waliobahatika kufika ifm,udsm,tia,mzumbe,saut,cbe wanalipia ili kujuzwa vitu ivi si chini ya milioni moja tsh.kwa iyo uko free kuhoji wapi unataka kuelimishwa! Usisubiri kila kitu afanye dr.Slaa,sisi tutakusaidia maana vyote tumepewa na Tanganyika tangu miaka ya 47,dr.Slaa si mtaalamu wa uchumi wala mahesabu,yeye atanena mambo ya m uhimu ,sisi tupo kuwamegea vitu ivi kwa manufaa yenu na vizazi vijavyo!
 
Duh! mnachemsha,tatizo ni mafuta!......yaani nyie wote hamjui hili?
 
Pandikizi la CCM lilohitimu secondary za kata

Wewe ndo unaonekana na Tabia za ki makambamakamba za kuporomosha kashfa na mitusi badala ya kujibu hoja!!wewe ulohitimu za kimataifa ndo elimu ulopewa kujibu hoja??? kadai fee yako wamekutapeli kweli tena nenda na RB Kabsaaaa!
 
Back
Top Bottom