Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kauli ya Ikulu ndiyo kauli ya Rais, huitaji uprofesa kutambua hilo.
Uzalendo gani huo wa kuigawa Tanzania kupitia "Nchi 3/Serikali 3?" Tena usimlinganishe kabisa Warioba na Nyerere maana wako mbali kama mbingu na nchi esp kuhusu Muungano!
Halafu nilifikiri Tume imevunjwa kumbe pamoja na kuvunjwa huko Warioba bado ni "Mwenyekiti wa Tume?"
Haya wewe tupe nukuu japo moja ambayo umeona Warioba kadhalilishwa.
Tatizo lako ni uchumia tumbo wa kujipendekeza kupata vyeo.Huna lolote. Upo kama kasuku vile. Toa maelezo kwanini Tanganyika ilikufa serikali yake wakati Zanzibar waliendelea kubakia na serikali yake? Mnataka kutufanya wote wajinga kama nyie.
Haya wewe tupe nukuu japo moja ambayo umeona Warioba kadhalilishwa.
Serikali ya Tanganyika haikufa, iliuliwa na Nyerere, kwanini huupendi ukweli?
Kwanini Nyerere aliua bila ya maelezo? Kwanini kama kuua Tanganyika lilikuwa ni wazo la mtu mmoja, leo hii kwanini tunapata kigugumizi kuirudisha? Umejibu vyema Nyerer aliua. Sasa hahojiki kwanini aliua? Tupeni maelezo kwanini aliua kama kweli mnajua ili nasi tuwaunge mkono. Vinginevyo kujifanya nyie tu ndio mnajua siri ya kuua Tanganyika haitatusaidia. Mawazo yake ya kuua Tanganyika yamepitwa na wakati kama vipi angeacha maelezo ya kutosha kuwarithisha wengine. Warioba akadhalilishwa kwa kuambiwa mnafiki. Unafiki wake ni nini sasa hapa?
Tatizo lako umejivika koti la serikali mbili ndio maana huoni umuhimu wa Jaji Warioba kwenye taifa hili, laiti angeandika unayopenda kuyasikia leo Warioba angekuwa hero kwako.Uzalendo gani huo wa kuigawa Tanzania kupitia "Nchi 3/Serikali 3?" Tena usimlinganishe kabisa Warioba na Nyerere maana wako mbali kama mbingu na nchi esp kuhusu Muungano!
Halafu nilifikiri Tume imevunjwa kumbe pamoja na kuvunjwa huko Warioba bado ni "Mwenyekiti wa Tume?"
Wala usipate taabu, Nyerere alisema hajui maana ya Tanganyika ni nini.
Uzalendo gani huo wa kuigawa Tanzania kupitia "Nchi 3/Serikali 3?" Tena usimlinganishe kabisa Warioba na Nyerere maana wako mbali kama mbingu na nchi esp kuhusu Muungano!
Halafu nilifikiri Tume imevunjwa kumbe pamoja na kuvunjwa huko Warioba bado ni "Mwenyekiti wa Tume?"
Dr.Slaa amekuwa kama mtu aliyesomewa albadiri..kama anawehuka hivi...