Elections 2010 Slaa in Arusha today

Elections 2010 Slaa in Arusha today

....KAKA ipande mara mbili....Muungwana ameingia homa ni CHADEMA ....kapiga kazi hadi saa kumi ....kamfungia safari ya kumkeshea kucha MSOGA......saa kumi tu alishachomoka ofisini na msafara wake kwenda MSOGA....HADI kesho saa mbili ndio anarudi mjini......kama mnapenda mabadiliko walau kidogo ni lazima kila mmoja kwa imani yake bara na visiwani asali sana tu!!!
.....sio mnajuwa mafundi wa mzee wakimaliza kazi ...akirudi akiwachekea tu basi ....kila mmoja anasahau machungu......yaani....hii dawa sijuwi ni ile wanayopewaga wapenda mabibi .....wanawake wawakubali tu bila kuhoji???..hamjawahi kuona hiyo .....hadi wanawake wakitoka wanasemezana..."ah sijui nimemkubalije?"....nadhani hiyo imeongezewa nguvu kiasi kuwa watanzania wanampenda muungwana hata wale ambao hawajui amefanya nini.....kama ilivyokuwa 1995....unamuuliza mtu ....unamependa muungwana ..unajuwa rekodi yake kulinganisha na watu kama SAS na wengine???...jibu lake utashangaa ...tena utajibiwa na wake kwa waume...."basi tu nampenda!!"........sijapata kuona ...ukitaka uone basi lazima uwe mtu wa ibada/swala sana!!!

Mkuu umeniacha hoi sana. Kuna sehemu nilisoma wanasema 2005 mafundi walitoa ya kuwa wekea Watanzania kwenye maji kabla hayajasambazwa, yaani usipokunywa utaoga, usipooga utanawa, usiponawa utafulia inakula kotekote. Baada ya hapo kura zote kwa kijani
 
Tuache superstition. JK hata aloge wapi ni bure. Watanzania wamechoka kuwa taifa la kichekesho. Lazima kubadilisha chama tawala.

The nation is in tatters. Colossal manifestations of incompetency have led to hit and miss attempts to offload ATCL, TRC and General Tyre to investors. Large sums of money and national pride have been lost in the process. Our classrooms are producing graduates who are so uneducated that they cannot pass the simplest interviews. And the list of woes goes on.

You would be out of your mind if you expected Kikwete and company to dig us out of this hole. They wouldn’t know how to. We need a new group to save us. We need a different ruling party. We need CHADEMA and Slaa.

The worst thing that could happen to Tanzania this year would be for us to return CCM to power. Like Obama says, you cannot do the same thing over and over again and expect a different result!
 
wewe kweli ulifuatilia hii....kulikuwa na msafara mrefu sana na kuna gari lilibeba na viti kabisa..hahaaaaaaaa JK kazi unayo mwaka huu..chuma hicho ushindane nacho sio una kazi ya kuchekacheka tu


..teh teh ..na mabox ya ajabu ajabu hadi kwenye carriers za magari....utafikiria ni babu anasafiri..anyway lakini madhara yake kwa upande wake pia yapo ..hakuna kisicho na aja....hata mauza uza anayokutana nayo ndio ada anayoilipa pale anapokosea masharti ya babuz........tofauti na mola yu mwingi wa huruma ...ni nadra akakuumbua hadharani......lakini giza halina huruma ukikosea tu linakutandika hapo hapo na kutaka fidia za makafara......
Things like gari kuaharibika mara mbili in span of an hour,kuanguka anguka,kupigana na watu wa madogoli uwanjani[kirumba],.....etc that is the price he pays and it is risk...mengine ya sleepless nights na mengine ni siri yake...tungeyajuwa tungeona huruma zaidi.........
 
mi sio zinanichefua tu.. wife alikuja na li T-SHIRT lina picha ya JK mama yangu mzaza kalikuta nafutia gari asubuhi.....alinuna haswa
shirt

Wife wangu 2005 kapewa kanga na T shirt ya CCM, tukafunga ndoa 2007, kila siku kanikuta nahoji mwenendo wa CCM; KAJA KUGUNDUA CCM ni chama chafu, 2009 baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa aliamua kudekia Tshirt na kanga ya CCM ni baada ya kushuhudia rafu za CCM katika uchaguzi huo.

Aliniambia amegundua uchafu wa CCM
 
Nina imani 100% That Slaa is the Next President! Believe you me!!
 
Magwanda ya Chadema yanarangi nzuri kuliko ya CCM.

(I wish Chadema wangelikuwa na mipesa ya kuweza kugawa magwanda yao kama CCM, watu wengi wangelipendelea yao kuliko ya CCM!! lol)
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.
 
..teh teh ..na mabox ya ajabu ajabu hadi kwenye carriers za magari....utafikiria ni babu anasafiri..anyway lakini madhara yake kwa upande wake pia yapo ..hakuna kisicho na aja....hata mauza uza anayokutana nayo ndio ada anayoilipa pale anapokosea masharti ya babuz........tofauti na mola yu mwingi wa huruma ...ni nadra akakuumbua hadharani......lakini giza halina huruma ukikosea tu linakutandika hapo hapo na kutaka fidia za makafara......
Things like gari kuaharibika mara mbili in span of an hour,kuanguka anguka,kupigana na watu wa madogoli uwanjani[kirumba],.....etc that is the price he pays and it is risk...mengine ya sleepless nights na mengine ni siri yake...tungeyajuwa tungeona huruma zaidi.........
Teh teh, mkuu umenikumbusha tukio lile, pale nafikiri ulikuwa ugomvi wa mandumba ya kikwere na kisukuma yaliyogongana jukwaani.
 
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.

hii nimeipenda.

CCM wagawe na CHADEMA pia??
 
Mkuu hakuna cha kugawiwa wala nini, mie nimeshashona moja na limetulia kweli kweli. Ukitembelea pande za kwetu na kuniona nikiwa nimetinga na gwanda hilo, lazima utanipa tano.

hii nimeipenda.

CCM wagawe na CHADEMA pia??

Hizi zimetulia... mwendo wa kushonesha tu, au vipi?! lol
Namzukia Selemani pale jirani akanichukue vipimo, ana mashine mpya ya Singer inayotumia umeme!!! 🙂
 
Hata Mrema alikuwa na nyomi kama hizi mwaka 1995.

Dr Slaa aandae tu makombora kama yale ya MwembeYanga. Awaonyeshe watu shule zetu za msingi na sekondari zilivyo, zahanati na vituo vyetu vya afya, wodi zetu, mahakama zetu za mwanzo, vituo vyetu vya polisi, wakulima wetu walivyo kwa kukosa masoko ya bidhaa zao, wafugaji wetu wanavyohangaishwa kwa kukosa mabwawa na malisho ya mifugo yao, ajira kwa vijana wetu, bima ya afya inavyowanufaisha wachache, mikopo ya elimu ya juu ilivyo ya kibaguzi, mishahara ya ajabu kwenye baadhi ya taasisi za umma, wanasiasa wetu wanavyojineemesha, uharibifu mkubwa wa mazingira, aseme yuko na nani kwenye urais wake,.....
 
Hizi zimetulia... mwendo wa kushonesha tu, au vipi?! lol
Namzukia Selemani pale jirani akanichukue vipimo, ana mashine mpya ya Singer inayotumia umeme!!! 🙂

Steve Dii, acha tuwe tofauti bana, hata pale kwangu fundi Ally anashona poa, ntanunua materia kwa Khimji nikashone.

Hii kupenda bure ni ndo inawafanya watuibie hawa!!!! reee reeee tu bila kuwajibika hawataki.
 
Ukifuatilia Chaguzi ndogo zilizofanyika mwaka Jana, na uchaguzi wa 2005 utagundua kuwa wapiga kura wa kweli sio wale wanaokwenda kwenye mikutano ya kampeni. Wengi wanaokwenda huko ni wale wanaotafuta faraja ya maneno ya mda ule tu lakini hawana nguvu ya kuchagua maana wengi wao hawajajiandikisha kupiga kura wakidhani hakutakuja kutokea mgombea mwenye nguvu wa kushindana na yule wa CCM. Ni wale wanaosema hata nikipiga kura hakuna lolote nitapoteza muda maana wote wanatafuta kula tu. Tatizo jingine, watanzania wengi huwa hawelewi ujumbe unapotumwa kwa pool ya watu. Mtanzania anataka aambiwe yeye kama yeye ndo anapata ujasiri wa kuelewa na kufanya maamuzi na mara nyingi anapofanya maamuzi huwa anachukua ushawishi wa yule aloongoea nae uso kwa uso kuliko wa yule aloongea nae kupitia mikutano.

Ninachotaka kukisisitiza hapo ni kwamba pamoja na kampeni za majukwaani, lazima kuwe na program ya kampeni za mtu kwa mtu nyumba kwa nyumba, rafiki kwa rafiki, jirani kwa jirani, mtaa kwa mtaa. Watu wakumbushane taabu tulizozipata miaka zaidi 40 ilopita na umuhimu wa mabadiliko. Hii kazi haiwezi kufanywa na Slaa. ni kazi yetu sisi wapenda mabadiliko ambao tuko huku uraiani. kama kila mmoja wetu akiweza kuwafikia watu 100 na kuwaelewesha wakaelewa nao wakawafikia wengine 100 kwa muda tulio nao change will happen.

Kila mtu ajitahidi kumjua mpiga kura wa kweli yule asiyeweza kuelewa ubaya wa CCM na amsaidie ampe elimu ya utambuzi. Tukishindwa this time itatugharimu sio chini ya 10 years kurudi tena katika hali hii ya ushindani. Kumbuka baada ya Mrema year 1995 tumehesabu 15 years kupata Mpinzani tunaemkubali na watanzania bila kuwa na shaka nae.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu mbariki Dr. Slaa, give him good health at this difficult time of competitive election. We need Him LORD, protect him from
Malevolent spirits; Let him be our Next President after hard time of Jakaya Kikwete. We stand againt any demonic power that may by one way or another intervene in our General election; in your Might Power we declare victory for Tanzania. Free Tanzania from corruptive system. Let this country pass into great changes and be the country of example in Africa and the World as well.
I pray this in your Might Name
AMEN.
 
Hii ndio inatakiwa kuona kwamba Mheshimiwa Slaa amejidamka mapema na kutikisa Arusha. safari hii hakutakuwa na sababu ya kushindwa. Ni lazima mabadiliko yawepo ikiwezekana bunge lijae wapinzani.
 
Hii ndio inatakiwa kuona kwamba Mheshimiwa Slaa amejidamka mapema na kutikisa Arusha. safari hii hakutakuwa na sababu ya kushindwa. Ni lazima mabadiliko yawepo ikiwezekana bunge lijae wapinzani.

Richard,

Umekosea kidogo tu, safari tunataka ccm ndio waitwe wapinzani, na kwa sababu tunataka kujenga upya nchi, wasiwe wengi sana kwa kuanzia, 2015 ndio sasa waongezeke
 
This time things will not be the same, Mungu wetu ni mkubwa.
 
Endeleaaaaaaa, umegusa point ambayo hata mimi hunipa wasiwasi. Tatizo watu hawaendi kupiga kura pamoja na kushadadia wagombea kam hivo.

'ardhi haikomeshwi kwa kuikanyanga'........sijui kama wangapi wetu kule 'kwetu' wanajua hivyo au ndo bado wamesimama kwenye...'sipigi kura kwa kuw ahakuna jipya liatakalo tokea...'
 
moz-screenshot.png
 
Nimemsikia Raisi Mstaafu wa Kenya Mh. Daniel A Moi akiikandia Katiba mpya hadharani, watanzania tusitegemee kuwa Maraisi wetu wastaafu watakaa kimya kungojea mwaliko wa kuhudhuria gwaride la kuapishwa raisi toka chama tofauti na CCM cha muhimu hoja za wapinzaji zichukuliwe kuboresha maisha ya watanzania
 
Back
Top Bottom