Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
Muda wa mabadiliko ni sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That will work if and only if those homeland security chiefs are Muslims.
Vinginevyo CCM wanatwanga maji kwenye kinu
Hivi wameajiriwa na CCM? Ndo maana mambo mengi hayaendi vizuri. Unaitwa Usalama wa taifa halafu wanafanya kazi ya CCM, vinaendana kweli. Nchi imekwisha
Good answer atakeyeshikwa na tumbo laku...... anawapisha wengine wanasonga mbele ndiyo spirit ya jeshi ilivyo.hakuna tumbo joto, wao ndiyo matumbo joto, sie twasonga mbele
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.
Kweli kabisa palipo na nguvu ya umma usalama wa taifa hauweza kitu, nani asiyejua enzi za Mtukufu Moi na nguvu yake ya usalama wa taifa ilivyokuwa nani asiyejua nguvu ya polisi ya Kenya ilivyokuwa enzi za kipande kwa waliofika Kenya enzi za utukufu wa mzee Moi ni mashuhuda lakini pamoja na nguvu hizo zote nguvu ya umma ilishinda.Naota kwamba nchi inaingia kwenye chaos kwa sababu ya kikwete kuhitaji kula.
Lolote na liwe Kikwete anaondoka kwa nguvu ya umma.
Na natoa angalizo kwa hawa wanaojifanya ni usalama wa wezi, kwamba nchi hii ni yetu wote. Tukiamua wananchi kuwa hatumtaki kikwete nawahakikishia wao hao usalama wa ccm kuwa hawataweza hata kwa dakika moja kumrudisha kwenye ikulu.
Sana sana tutafikia kuuana bure na hata wao watakufa wala wasidhani watapona. Wao na jamaa zao na familia zao watakuwa responsible kwa damu ya watanzania. Wawe macho kwa hili na wala tusitishane kwa nchi tuliyopewa wote na Mungu na wala si mali yao pekee katu.
Mungu ibariki Tanzania.
Chagua Dr Slaa Chagua Maendeleo kwa nchi hii.
Slaa taratibu anaanza kuishiwa... Kauli kama hizi ni dalili tosha za kuishiwa!
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.
Huyo Slaa kajaza mafisadi tokea ngazi ja juu ya chama chake hadi chini... Mbaya zaidi yeye mwenyewe ni fisadi kiwembe...Dogo Kibunango chagua Slaa.,
Achana na swahiba wa mafisadi Kikwete. Au nawe uko altareni kwa JK?
Slaa taratibu anaanza kuishiwa... Kauli kama hizi ni dalili tosha za kuishiwa!
That will work if and only if those homeland security chiefs are Muslims.
Vinginevyo CCM wanatwanga maji kwenye kinu
Kibunango tangu lini ulianza kuungua mental diorder? Siamini kwamba ni wewe uliyeweka post hiyo hapo juu!Huyo Slaa kajaza mafisadi tokea ngazi ja juu ya chama chake hadi chini... Mbaya zaidi yeye mwenyewe ni fisadi kiwembe...
Bibie Josephine akimpiga tafu slaa..![]()