Huyu katumwa na Nape. Hana lolote. Kwanza, nani kamwambia kuwa Mbowe anataka urais? Hata mwaka 2005 alijitosa katika kinyang'anyiro hicho baada ya kuombwa na chama. Mbowe hakutaka kugombea nafasi hiyo.<br><br>Sasa nami namuuliza: Kati ya Wilson Mukama, Lowassa, Rostam, Migiro, Hussen Mwinyi na Benard Membe AKA Joka la Mdimu, nani atafaa kugombea urais?
Yoyete kati yao anafaa kugombea Urais ila hakuna hata anayefaa kuwa Rais! Swali lingine?