Elections 2010 Slaa ndani ya Kiteto MANYARA jana

Wakati CCM wanauliza ahadi hizo zitatekelezekaje, mfano elimu bure, wanasahau hata hapo Kenya jirani wanaweza, kwa Raslimali zao chovu.
 
Nimekuwa nikifuatilia majibizano hapa na kugundua kuwa humu ndani watu wana chuki tena za wazi wazi kwa wengine,jamani nchi hii haitaendelea kwa namna ambavyo tunakosa hata ustaarabu wa kuweza kuzungumzia kitu kwa kujenga hoja bila kutukanana.

Kama tumo humu kwa ajili ya matusi na kashfa zisizokuwa na faida basi naona haina haja ya kuwamo humu na inafaa kutumia ustaarabu wa kuwa wasomaji tu na ikibidi kujiondoa kabisa.

Humu ni mahali pa kujifunza na kukosoana bila kujengeana chuki na matusi.
 

Thanks guy your right! Wana sisi m wamekosa hoja wamejiandikisha hapa na wapo wanamwaga matusi. Na kwa ule usemi mpumbavu mjibu katika upumbavu wake, imekuwa matusi kwa wote. Turudi kwenye hoja halisi.

Tunamhitaji Dr Slaa katika nchi hii kuiweka nchi katika usafi wa kimaadili. Mwisho wa utawala wa kijanja janja umekaribia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…