edwinito
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 210
- 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama UDOM imejengwa muda mfupi hivi bajaji hata 10000 zinaweza nunuliwa. Mpe kura JK tukuthibitishie
Nimekuwa nikifuatilia majibizano hapa na kugundua kuwa humu ndani watu wana chuki tena za wazi wazi kwa wengine,jamani nchi hii haitaendelea kwa namna ambavyo tunakosa hata ustaarabu wa kuweza kuzungumzia kitu kwa kujenga hoja bila kutukanana.
Kama tumo humu kwa ajili ya matusi na kashfa zisizokuwa na faida basi naona haina haja ya kuwamo humu na inafaa kutumia ustaarabu wa kuwa wasomaji tu na ikibidi kujiondoa kabisa.
Humu ni mahali pa kujifunza na kukosoana bila kujengeana chuki na matusi.