Sleeping bonnet/cap

Sleeping bonnet/cap

JackieMisha

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
9
Reaction score
1
Habari zenu wote. Karibuni Sana, nauza kofia za kulalia kwa wale waliosuka rasta, kushonea weaving, wenye curly hair, natural hair nk. Kitambaa Ni satin, na kwa kuwa satin ni kitambaa laini kofia hizi zitasaidia kulinda nywele zako kwenye kukatika, kujifunga, kwa Rasta kuchakaa haraka ama mtindo kuharibika. Samahani nashindwa kuweka picha.
 
Screenshot_20190807-002405.jpeg
Screenshot_20190807-002142.jpeg
 
Habari zenu wote. Karibuni Sana, nauza kofia za kulalia kwa wale waliosuka rasta, kushonea weaving, wenye curly hair, natural hair nk. Kitambaa Ni satin, na kwa kuwa satin ni kitambaa laini kofia hizi zitasaidia kulinda nywele zako kwenye kukatika, kujifunga, kwa Rasta kuchakaa haraka ama mtindo kuharibika. Nipo mbeya Ila kwa Alie nje ya mbeya pia anaweza kuipata. Kwa maelezo zaidi 0679763027
 
Back
Top Bottom