"Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

"Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

Nisehemu isiyo na makazi bora
uchafu,maji safi hakuna
miundombinu aina yote ni Duni
lakini kwa Nairo Kule kuna zaidi ya slum
kule kuna Hatari ya makazi.
Kuishi kule kwa kiwango kikubwa uzaliwe na kukulia huko
maana ningumu Sana utoke nje ya slum hizo na kuishi kule
 
Nimekuwa nikikutana na hili neno "slums" kila nikisoma habari za kenya hasa hasa kuhusu mji mkubwa uliojengeka kimiundombinu East Africa yote Nairobi.

Naombeni jirani zangu wakenya mnieleweshe maana ya hilo neno
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Umeifanya jioni yangu iwe murua sana
 
Back
Top Bottom