small loans kwa wafanyakazi

small loans kwa wafanyakazi

businezz_oligarch

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
145
Reaction score
35
wanajF naombeni mnisaidie ni wapi naweza kupata micro finance zinazotoa mikopo MIDOGO kwa riba nafuu kwa wafanyakazi wa sekta binafsi....Plz
 
Wewe ni mfanyakazi wa sekta gani? Serikalini, sekta binafsi au wapi? Nijibu hapo kwanza kabla sijakupa ushauri.
 
Sekta binafsi mkuu...
Ok. mabenk mengi yana utaratibu wa kukopesha wafanyakazi.
Baadhi ya vigezo vyao ni hivi:
1. Uwe na akaunti katika hiyo benki.
2. Mshahara wako upitie kwenye hiyo benki.
3. Barua ya mwajiri wako kuthibitisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa kampuni husika.
4. Slip zako za mshahara (miezi mitatu ya karibuni).

Hivyo ndio vya msingi japo wengine wanaweza kuongeza vitu vya ziada kama vile picha za paspoti size n.k.

Ongea na HR wa ofisi yenu akupe maelekezo, kisha tembelea mabenki kama vile baclays, stanbic, ACB, n.k. nao watakupa taratibu zao za mikopo.
 
wanajF naombeni mnisaidie ni wapi naweza kupata micro finance zinazotoa mikopo MIDOGO kwa riba nafuu kwa wafanyakazi wa sekta binafsi....Plz
KWA HIYO HILO JINA LAKO: BUSINEZZ_OLIGARCH Ni LA KUZUGIA TU, KWELI AU SIYO KWELI?
 
Ok. mabenk mengi yana utaratibu wa kukopesha wafanyakazi.Baadhi ya vigezo vyao ni hivi:1. Uwe na akaunti katika hiyo benki.2. Mshahara wako upitie kwenye hiyo benki.3. Barua ya mwajiri wako kuthibitisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa kampuni husika.4. Slip zako za mshahara (miezi mitatu ya karibuni).Hivyo ndio vya msingi japo wengine wanaweza kuongeza vitu vya ziada kama vile picha za paspoti size n.k.Ongea na HR wa ofisi yenu akupe maelekezo, kisha tembelea mabenki kama vile baclays, stanbic, ACB, n.k. nao watakupa taratibu zao za mikopo.
Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...
 
Hizo zipo, lakini mara nyingi wanakuwa wagumu sana kukopesha wafanyakazi wa sekta binafsi. Nadhani wanaogopa risk. Mara nyingi hukopesha wafanyakazi wa serikali, mfano walimu,manesi n.k. ambao wanafanyakazi kwenye taasisi za serikali.

Kuna jamaa wanaitwa Blue Financial Servises wapo pale makutano ya Azikiwe na Bibi Titi. Wengine ni bayport wapo pale Moroco karibu na jengo la Airtel kama unaenda mjini. Hii ni kwa Dar, so kama uko mkoani unaweza ukawaona hao jamaa kama kuna matawi yao. huenda ukabahatika. Kuna jamaa wengine wanaitwa Brac, nao hutoa micro-loans. Tatizo la hizi kampuni inasemekana interest zao zipo juu mno, so kukopa kwao ni kama kujitia umasikini.

Jaribu kuwatembelea upate maelezo ya kina.
 
Saccos
 
....kuwa makini sana, interest zao hazifai, wizi mtupu...
 
Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...

businezz_oligarch jaribu kucheck na hawa jamaa african microfinance limited (AML) - www.africanmicrofinance.co.tz; kwa wastani huduma zao zinaridhisha, wanatoa loans at 10% interest rate, monthly repayment, na payback period ni 4 - 6 months; itakulazimu pia uwe na collateral (kadi ya gari au hati ya nyumba). Ila ningekushauri uchukue tu loan kama una malengo nayo ya kibiashara (kuongeza mtaji/kipato katika biashara zako) na sio kutatua matatizo yako ya kiuchumi kwani payback time ni ndogo sana so usipojipanga lazima utaangukia pua.
 
Last edited by a moderator:

Asante kaka....hawa watu wanapatikana wapi??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom