businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
wanajF naombeni mnisaidie ni wapi naweza kupata micro finance zinazotoa mikopo MIDOGO kwa riba nafuu kwa wafanyakazi wa sekta binafsi....Plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sekta binafsi mkuu...Wewe ni mfanyakazi wa sekta gani? Serikalini, sekta binafsi au wapi? Nijibu hapo kwanza kabla sijakupa ushauri.
Ok. mabenk mengi yana utaratibu wa kukopesha wafanyakazi.Sekta binafsi mkuu...
KWA HIYO HILO JINA LAKO: BUSINEZZ_OLIGARCH Ni LA KUZUGIA TU, KWELI AU SIYO KWELI?wanajF naombeni mnisaidie ni wapi naweza kupata micro finance zinazotoa mikopo MIDOGO kwa riba nafuu kwa wafanyakazi wa sekta binafsi....Plz
La kuzugia...KWA HIYO HILO JINA LAKO: BUSINEZZ_OLIGARCH Ni LA KUZUGIA TU, KWELI AU SIYO KWELI?
Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...Ok. mabenk mengi yana utaratibu wa kukopesha wafanyakazi.Baadhi ya vigezo vyao ni hivi:1. Uwe na akaunti katika hiyo benki.2. Mshahara wako upitie kwenye hiyo benki.3. Barua ya mwajiri wako kuthibitisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa kampuni husika.4. Slip zako za mshahara (miezi mitatu ya karibuni).Hivyo ndio vya msingi japo wengine wanaweza kuongeza vitu vya ziada kama vile picha za paspoti size n.k.Ongea na HR wa ofisi yenu akupe maelekezo, kisha tembelea mabenki kama vile baclays, stanbic, ACB, n.k. nao watakupa taratibu zao za mikopo.
Hizo zipo, lakini mara nyingi wanakuwa wagumu sana kukopesha wafanyakazi wa sekta binafsi. Nadhani wanaogopa risk. Mara nyingi hukopesha wafanyakazi wa serikali, mfano walimu,manesi n.k. ambao wanafanyakazi kwenye taasisi za serikali.Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...
Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...
Hizo zipo, lakini mara nyingi wanakuwa wagumu sana kukopesha wafanyakazi wa sekta binafsi. Nadhani wanaogopa risk. Mara nyingi hukopesha wafanyakazi wa serikali, mfano walimu,manesi n.k. ambao wanafanyakazi kwenye taasisi za serikali.
Kuna jamaa wanaitwa Blue Financial Servises wapo pale makutano ya Azikiwe na Bibi Titi. Wengine ni bayport wapo pale Moroco karibu na jengo la Airtel kama unaenda mjini. Hii ni kwa Dar, so kama uko mkoani unaweza ukawaona hao jamaa kama kuna matawi yao. huenda ukabahatika. Kuna jamaa wengine wanaitwa Brac, nao hutoa micro-loans. Tatizo la hizi kampuni inasemekana interest zao zipo juu mno, so kukopa kwao ni kama kujitia umasikini.
Jaribu kuwatembelea upate maelezo ya kina.
Ok asante kaka...lakin ukiacha banks,kuna micro finance ndogo ndogo ambazo hazna mitaji ya kuitwa banks hzo ndo my target,niwie radhi kwa kutolifafanua hilo tangu awali,je unazjua hzo kaka???ukiachilia mbali PRIDE n FINCA...
Asante kaka....hawa watu wanapatikana wapi??businezz_oligarch jaribu kucheck na hawa jamaa african microfinance limited (AML) - www.africanmicrofinance.co.tz; kwa wastani huduma zao zinaridhisha, wanatoa loans at 10% interest rate, monthly repayment, na payback period ni 4 - 6 months; itakulazimu pia uwe na collateral (kadi ya gari au hati ya nyumba). Ila ningekushauri uchukue tu loan kama una malengo nayo ya kibiashara (kuongeza mtaji/kipato katika biashara zako) na sio kutatua matatizo yako ya kiuchumi kwani payback time ni ndogo sana so usipojipanga lazima utaangukia pua.
ofisi zao ziko wapi??If you are an employee of the company or owner, the first thing is must have a bank account and then contact them for further instruction and requirements.conveyancing gold coast