SMART DOOR LOCK (KIBOKO YA WAPANGAJI WASUMBUFU KULIPA KODI)-0746373222.

Joined
Apr 29, 2016
Posts
49
Reaction score
68
KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT.

📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka.

📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu system ktk simu yake ili VITASA vifunguke.

📍Unaweza ku-update system ya VITASA na muda WA kufanya kazi hata km upo mbali nje ya mkoa au nchi Kwa kutumia SIMU.

📍Teknolojia hii inawafaa wanaomiliki nyumba za kupangisha iwe apartment,nyumba nzima,hotels,lodge nk....

📍Vitasa hivi vinatumia funguo ya kawaida,card,password ya namba na pia fingerprint..

📍Tunapatikana Mwanza na Dar es salaam. Na Huduma ZETU zinakufikia mkoa wowote ulipo.

📍Karibu GORDON TECHNOLOGY INVESTMENT ufurahie Huduma za teknolojia ktk maisha.

📍Call/Whatsapp☎️0746373222

TikTok: @gordon_technology

Instagram: gordon_technology

Facebook:Gordon Technology
 
Attachments

  • IMG-20250209-WA0020.jpg
    IMG-20250209-WA0020.jpg
    32.7 KB · Views: 3
  • IMG-20250211-WA0025.jpg
    IMG-20250211-WA0025.jpg
    3.8 KB · Views: 4
  • IMG-20250211-WA0024.jpg
    IMG-20250211-WA0024.jpg
    78.6 KB · Views: 5
  • IMG-20250211-WA0022.jpg
    IMG-20250211-WA0022.jpg
    460.5 KB · Views: 5
  • IMG-20241231-WA0055.jpg
    IMG-20241231-WA0055.jpg
    116.3 KB · Views: 4
KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT.

📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka.

📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu system ktk simu yake ili VITASA vifunguke.

📍Unaweza ku-update system ya VITASA na muda WA kufanya kazi hata km upo mbali nje ya mkoa au nchi Kwa kutumia SIMU.

📍Teknolojia hii inawafaa wanaomiliki nyumba za kupangisha iwe apartment,nyumba nzima,hotels,lodge nk....

📍Vitasa hivi vinatumia funguo ya kawaida,card,password ya namba na pia fingerprint..

📍Tunapatikana Mwanza na Dar es salaam. Na Huduma ZETU zinakufikia mkoa wowote ulipo.

📍Karibu GORDON TECHNOLOGY INVESTMENT ufurahie Huduma za teknolojia ktk maisha.

📍Call/Whatsapp☎️0746373222

TikTok: @gordon_technology

Instagram: gordon_technology

Facebook:Gordon Technology
Hatari...bei yake?
 
Dawa ya deni kulipa ila kufungia mali za mpangaji xenye thamani zaidi ya kodi na kwenye mkataba hamkuanfikishana kwamba utafungia mali zake ujipange na wewe kwa bounce back. Either kitakula shoka au utadukuliwa na watu wataingia ndani kama kawa
 
Hivyo vitasa tuwawekee wapangaji hawa hawa wanaolipa chumba 50,000 kwa mwezi kwa kulipa kodi ya miezi mitatu mitatu ?
 
sasa hicho kitasa mtu anakipiga na shoka au chuma kizito sana anaingia ndani..mm naona bora mlango mzima uwe wa kuslide kama ule wa lifti au kuchanja kwa kadi au milango aina hiyo hairuhusiwi kuwekwa kwenye makazi mtaani.? ila hivi vitasa vya kukwanyua alafu wawe wanaishi mabandidu na watu waliopinda hakiwatishi.
 
Mkuu

Mkuu tunapendekeza vitumike ktk apartment,hotelini,viwandani au nyumba inayojitegemea kwa matumizi....
 
Dawa ya deni kulipa ila kufungia mali za mpangaji xenye thamani zaidi ya kodi na kwenye mkataba hamkuanfikishana kwamba utafungia mali zake ujipange na wewe kwa bounce back. Either kitakula shoka au utadukuliwa na watu wataingia ndani kama kawa
Mikataba ya kupanga nyumba inajieleza ni kosa kisheria kubomoa chochote ktk nyumba BILA kupata ruhusa...ni kosa la JINAI(KUHARIBU MALI).
 
sasa hicho kitasa mtu anakipiga na shoka au chuma kizito sana anaingia ndani..mm naona bora mlango mzima uwe wa kuslide kama ule wa lifti au kuchanja kwa kadi au milango aina hiyo hairuhusiwi kuwekwa kwenye makazi mtaani.? ila hivi vitasa vya kukwanyua alafu wawe wanaishi mabandidu na watu waliopinda hakiwatishi.
Ni vitasa vina mashine sawa na vitasa vingine...ni imara na huwezi kuvunja km unavowaza...mara nyingi waliojipata maisha wanatumia vitasa hivi na sio uswazi
 
Eti shoka...wewe ukishavunja kitasa tayar nakuhesabia wewe ni mhalifu, unaenda rumande tu mamaeh. Ukae huko wakufirimbe kwanza akili zitulie.
 
Mikataba ya kupanga nyumba inajieleza ni kosa kisheria kubomoa chochote ktk nyumba BILA kupata ruhusa...ni kosa la JINAI(KUHARIBU MALI).
Na nikosa kufungiaa mali za mpangaji hiyo sio law enforcement. Mpe notice akuachie myumba
 
Eti shoka...wewe ukishavunja kitasa tayar nakuhesabia wewe ni mhalifu, unaenda rumande tu mamaeh. Ukae huko wakufirimbe kwanza akili zitulie.
Mpe notice kwanini ufungie mali za mtu ndani?
NB PESA SIO KILA KITU
 
Kama mwenye nyumba anaweza kulock,Ina maana ana uwezo wa kuunlock pia na akaingia akitaka?
 
Back
Top Bottom