Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 49
- 68
- Thread starter
- #21
Mkuu mkataba ndo una explain makubaliano ya kupanga nyumba ya mtu this means kodi ikiisha automatic unapaswa kuhama au kulipia upyaNa nikosa kufungiaa mali za mpangaji hiyo sio law enforcement. Mpe notice akuachie myumba