nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
asante sana mkuu, wanaviuza sh ngap?tigoshop na vodashop vipo vya kutosha
chukua smart kitochi kipya cha voda cha 60,000 kinatumia android, unaweza kuki customize ikawa na features za maana, achana na vitochi vya zamani vinavyotumia kai os, havina issuewakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
sio mbaya kama kuna simu unaifahamu mkuu inauwezo huo ukanitajia na jinsi nitakavyoipataUnauliza simu gani au unauliza vinapatikana wapi
shukuran Chief- Mkwawa, ivyo vya voda vinawezekana kuviflash na kukubali line za mitandao mingine?chukua smart kitochi kipya cha voda cha 60,000 kinatumia android, unaweza kuki customize ikawa na features za maana, achana na vitochi vya zamani vinavyotumia kai os, havina issue
vinachezea 60k na laini zinatumika 2asante sana mkuu, wanaviuza sh ngap?
sijajua mkuu, ila ukiweka line 1 voda line nyengine unaweka mtandao mwengine, pia wanakupa na gb za bure za kusogezea siku.shukuran Chief- Mkwawa, ivyo vya voda vinawezekana kuviflash na kukubali line za mitandao mingine?
sawa mkuu nimekupata vilivyo kama ina line mbili ni fresh hakijaharibika kitu, line namba mbili pia iko na uwezo wa internet?sijajua mkuu, ila ukiweka line 1 voda line nyengine unaweka mtandao mwengine, pia wanakupa na gb za bure za kusogezea siku.
sawa mkuu asante sanavinachezea 60k na laini zinatumika 2
kumbukumbu sio nzuri mkuu ila nakumbuka kama line 2 ilikua ni 2G tu, line 1 ndio ilifanya kazi zote. ssawa mkuu nimekupata vilivyo kama ina line mbili ni fresh hakijaharibika kitu, line namba mbili pia iko na uwezo wa internet?
sawa mkuu asante sanasijajua mkuu, ila ukiweka line 1 voda line nyengine unaweka mtandao mwengine, pia wanakupa na gb za bure za kusogezea siku.
Japo muonekano wake sijaupenda, ntachukua hii niitumie kama main phone. Smartphone zinachosha kuzibeba.chukua smart kitochi kipya cha voda cha 60,000 kinatumia android, unaweza kuki customize ikawa na features za maana, achana na vitochi vya zamani vinavyotumia kai os, havina issue
Kama upo comfortable ku type na 9 pad keys sawa, maana inataka uvumilivu kidogo.Japo muonekano wake sijaupenda, ntachukua hii niitumie kama main phone. Smartphone zinachosha kuzibeba.
Yeah, niko comfortable kwenye 9 keys kuliko QWERTY, napenda one hand typing.Kama upo comfortable ku type na 9 pad keys sawa, maana inataka uvumilivu kidogo.