smart kitochi

smart kitochi

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
152
Reaction score
152
wakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
 
Unauliza simu gani au unauliza vinapatikana wapi
 
wakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
chukua smart kitochi kipya cha voda cha 60,000 kinatumia android, unaweza kuki customize ikawa na features za maana, achana na vitochi vya zamani vinavyotumia kai os, havina issue
 
shukuran Chief- Mkwawa, ivyo vya voda vinawezekana kuviflash na kukubali line za mitandao mingine?
 
sijajua mkuu, ila ukiweka line 1 voda line nyengine unaweka mtandao mwengine, pia wanakupa na gb za bure za kusogezea siku.
 
sawa mkuu nimekupata vilivyo kama ina line mbili ni fresh hakijaharibika kitu, line namba mbili pia iko na uwezo wa internet?
 
kumbukumbu sio nzuri mkuu ila nakumbuka kama line 2 ilikua ni 2G tu, line 1 ndio ilifanya kazi zote. s
 
chukua smart kitochi kipya cha voda cha 60,000 kinatumia android, unaweza kuki customize ikawa na features za maana, achana na vitochi vya zamani vinavyotumia kai os, havina issue
Japo muonekano wake sijaupenda, ntachukua hii niitumie kama main phone. Smartphone zinachosha kuzibeba.
 
Back
Top Bottom