Chizoba_CzB
Member
- Dec 13, 2019
- 86
- 98
Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema [emoji120][emoji120].
Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za simu picha hizi nimepiga kwa simu na editing zimefanyika kwa simu pia.
Napiga picha za simu ndio hobby yangu baada ya majukumu yangu ya kazi zingine basi napenda kwenda location na kupiga picha.
Simu ninayotumiaa ni [emoji390]Samsung S6 edge Plus na apps ninazotumia katika editing ni[emoji439] Picart,Lr,Snapseed,Shotogrid,Toolwiz na Vsco.