Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo yeye ni amateur kwenye porn industry [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah eti nayeye ameji-record kabisa kama Amateur ....ama kweli mjini kila mtu baby uzee mwisho chalinze ...
Mara nyingi ndio inavyo kuwaga ..ukitafuta pesa kwa maagano na shetani " inapotokea ukavunja masharti lazima mwisho wako uwe mbaya tu
Haha kweli aise ..sio kwa style 1 ile ile tuHata hivyo yeye ni amateur kwenye porn industry [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa style 1 ile ile huo ufundi ana utoa wapi ..nina hakika hata wewe usingecheza poor performance kama ile .. mechi ingeisha yule mtoto akiwa mwekundu kama pili pili kichaa iliyoiva[emoji1][emoji1][emoji1]ila fundi
Teh fundi wa kifo cha mende...haha[emoji1][emoji1][emoji1]ila fundi
Kwa style 1 ile ile huo ufundi ana utoa wapi ..nina hakika hata wewe usingecheza poor performance kama ile .. mechi ingeisha yule mtoto akiwa mwekundu kama pili pili kichaa iliyoiva
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Teh fundi wa kifo cha mende...haha
Hata mimi... Yani ni lazima kutoa masaa machache ya kuwa na Mungu bila usumbufumy bro ni kweli mie nilishawaza sana suala hili na siendi na simu kanisani. Naiacha nyumbani kama kuna lolote nitalikuta tu kwani ni masaa machache ninayoabudu katika dhehebu langu.
Hapa umesema na kumaliza ChiefUsasa una yake mazuri na ya kuchukiza... Ya nuruni na ya sirini.. Yote hayakwepeki... Kuna moja lililo wazi...! Hata kama hatutapenda kulijadili kwa unafiki na uzandiki wetu... MFUMO KRISTO UNATAWALA DUNIA....!
Mwezi uliopita tulipata msiba mtaani kwetu... Jamaa yetu jirani (mlevi mzuri wa 'pure' namba one alipata ajali na kufariki hapohapo!!! Aligongwa na gari mitaa ya mbezi akitoka kutoa lock... Msiba ulikuwa na kila aina ya vituko kutokana na aina ya maisha aliyokuwa nayo marehemu na aina ya kampani yake... Hii sio kesi kabisa!
Alizikwa kwa imani yake ya kiislam... Ustaadh aliyeongoza ibada ile ya mazishi alikuwa kijana wa makamo lakini wa kileo sana... Pale makaburini aloliongoza ibada ile ya mazishi kupitia iPad kali aliyokuwa kabeba... Juzuu, mistari na utaratibu mzima wa mazishi yale, alitumia version ya mtandaoni kupitia iPad.. Quran for Android ya mtandaoni
Kuna wakati alipata usumbufu wa nadhani jumbe za WhatsApp na za kawaida na kama mara mbili alipigiwa simu alizokata ili uweze kuwa na mwendelezo wa ibada bila bughudha... IPad ile alitumia password kuifunga na kuifungua... Nikajiuliza Ustaadh anajua kweli maana ya password?
Imani yangu ni mkristo, huwa nasali makanisa tofauti.. Kuna baadhi ya makanisa, maaskofu, wachungaji na wahubiri wao huona ni sifa na usasa kutumia downloaded Bible toka kwenye simujanja zao na ipads kusoma neno na nukuu mbalimbali
Nina ukakasi mkubwa kwenye hili... Tunaishi kwenye ulimwengu wa namba ya siri... 666... Namba ya MFUMO KRISTO mpinga KRISTO, lakini wengi wetu hatulitambui hilo...
Siku hizi makufuli na vitasa havina nguvu na thamani kivile... Maisha yetu yametawaliwa na namba ya siri kuanzia
Mitandaoni
Huduma za kifedha
Huduma za bank
Huduma binafsi
Simu zetu
Anuani zetu
Manunuzi yetu
Miamala mbalimbali
Shughuli za kijamii
Shughuli za kidini nknk
Hata miamala na malipo mbalimbali serikalini yanakutambua kwa namba maalum ya mlipa kodi yenye namba ya siri...
Yote juu ya yote simu janja yako (smart phone) uliyo download msahafu kwa imani yako.. Unathubutu vipi kuitumia kwenye nyumba takatifu ya ibada!? Una
Jumbe za mapenzi
Una mapicha ya aibu
Una video za kutia kinyaa
Una calls na mapenzi uhasama na visasi
Una vitu vingi vinavyowakilisha ulimwengu wa giza, sahau nyimbo za mapenzi na Ujinga mwingine, michepuko hata ulozi... Unapata wapi uthubutu wa kuvichanganya hivi na msahafu unaoheshimika na kujaa utakatifu!!?
Hupaswi kulaumiwa kwakuwa hujui...wala Kiongozi wako wa dini hapaswi kulaumiwa kwakuwa hana uwezo wa kulizuia hili.... Dunia inatawaliwa na namba ya siri... Ambayo ni 666.... Namba ya mpinga KRISTO.... Imo mpaka kwenye nyumba za ibada... Zaka na sadaka kwa tigo pesa, mpesa nknk....
Ikubali uishi... Ikatae ufe... Namaanisha namba ya siri 666... Hata kondom zako 3 ni kiwakilishi cha namba ileile ya siri... Matumizi yake unajenga na kuimarisha madhabahu unayojaribu kuipinga.... Utabaki kuwa mjinga....
Lala salama...!!!
Jr[emoji769]
Leo Chief Mshana,ameingia choo cha kike kbs BroHii kuhusu 666 uislam haina kabisa boss
Na hii link ya islamrevealed.og mwandishi ni mwarabu mkristu ndio kaandika hayo kwa matakwa yake
Anasema eti waislam wengi wanatumia hii namba wakati katika uislam haipo
Mijadala kama hii huwa inaleta migongano na kashfa![]()
Sent from my SM using Tapatalk
Leo Chief Mshana,ameingia choo cha kike kbs Bro
Uislam upo na Waislam wapo
Uislam unaweza ukawa tofauti saaana na weengi wale wanaojiita Waislam
Kisha
Bandiko la Mshana,amekopi na kupasti huku akiamini kuwa ni Ukweli
Kwann Chief Mshana,asituletee kuhusu namba 666 kwa upande wake zaidi,maana huko ndio kwake na anapajua vema,kuliko kuongea jambo la upande mwengine,ilihali ni mjinga napo...!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Chief Mshana,ameingia choo cha kike kbs Bro
Uislam upo na Waislam wapo
Uislam unaweza ukawa tofauti saaana na weengi wale wanaojiita Waislam
Kisha
Bandiko la Mshana,amekopi na kupasti huku akiamini kuwa ni Ukweli
Kwann Chief Mshana,asituletee kuhusu namba 666 kwa upande wake zaidi,maana huko ndio kwake na anapajua vema,kuliko kuongea jambo la upande mwengine,ilihali ni mjinga napo...!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Chief Mshana,ameingia choo cha kike kbs Bro
Uislam upo na Waislam wapo
Uislam unaweza ukawa tofauti saaana na weengi wale wanaojiita Waislam
Kisha
Bandiko la Mshana,amekopi na kupasti huku akiamini kuwa ni Ukweli
Kwann Chief Mshana,asituletee kuhusu namba 666 kwa upande wake zaidi,maana huko ndio kwake na anapajua vema,kuliko kuongea jambo la upande mwengine,ilihali ni mjinga napo...!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app