Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

ah wapi shoo! nilikua namjibu maserati tu kiutan! hahahhaa yan mie ntumie ngv kuwa kwahawa wadogo zangu! hehehe nimekosa nn sasa jaman!lkhaa.. dogo! sie tunafurahi /kusubiri waoane bas tuwakaribishe tu chaman! sinaga battle mie dogo!
Mmmmh kwa hili neno 'Dogo' najua hakuna mtu wa kuniita hivyo isipokua yuleeeeeeee dada angu kipendhiiiii naniliuuuuu.... lol

Kama sie nambie.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Wacha weee tangu lini umekuwa team mahondaw

inabidi kojo lako lipelekwe zimbabwe likapimiwe huko aisehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipo team yake ila nampongeza kwa uamuzi wa busara coz raha ya jambo uandaliwe kwanza sio kukurupushwa atiiiii.

Kumbe kuna teams humu?? Tehtehteh

[HASHTAG]#Teamfuatamkumbohaha[/HASHTAG]

Bora kuwa pekeangu kuliko kuwa na wanafiki

Mahondaw wa Smart911
 
It's me!
any problem!

DJ sepetu
Hongera sana kwa kuwa wewe ni mmoja wa watu wanao ichangamsha chit-chat lakini kuna jambo unatakiwa kuli rekebisha kidogo.....hasa kwenye usaili...

Unatakiwa kuhakikisha una wasiliana na watu unao taka kuwafanyia usaili ili usipate vikwazo sana na ili ukiandika kuwa utawafanyia interview watu fulani uwe na hakika lakini kama huto waandaa basi utaonekana unataka kuwasumbua au kuwadhalilisha maana ukweli ni kwamba si kila mtu hupenda kuweka mambo yake public na si kila mtu hupenda kufanyiwa interview hata kama anatumia Id bandia.....

Jitahidi kuwasiliana na wasailiwa mapema kabla ya siku au muda wa usaili na unawapa na topic na wao wanaweza kwambia kabisa mambo gani wasingelipenda kuulizwa na kama wako tayari kufanyiwa usaili.

Wasalaam
 
Thanks brother kwa hekima !
Appreciated!

DJ sepetu
 
Kumbe kuna teams humu?? Tehtehteh

[HASHTAG]#Teamfuatamkumbohaha[/HASHTAG]

Bora kuwa pekeangu kuliko kuwa na wanafiki

Mahondaw wa Smart911
Me ndio najionea hapa.... Team what da hell is dat... lol

Am too old and wiser for that shit called Team.

Tho najua hakumaanisha vibaya so Chillax bbymama.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Me ndio najionea hapa.... Team what da hell is dat... lol

Am too old and wiser for that shit called Team.

Tho najua hakumaanisha vibaya so Chillax bbymama.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Haaaaaaa ona [emoji116] [emoji116]
Wacha weee tangu lini umekuwa team mahondaw

inabidi kojo lako lipelekwe zimbabwe likapimiwe huko aisehhh

Am team Le great king Smart911 wawili tu and God bless us!!

Mahondaw wa Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…