SmartBusiness tumeleta Peloo - mfumo wa usimamizi wa Biashara za mikopo (Microfinance)

SmartBusiness tumeleta Peloo - mfumo wa usimamizi wa Biashara za mikopo (Microfinance)

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
597
Reaction score
792
Baada ya mafanikio makubwa ya SmartBusiness, sasa tumeleta Peloo! 🚀

SmartBusiness tayari inatumiwa na wafanyabiashara zaidi ya 20,000 barani Afrika, ikiwawezesha kusimamia mauzo, bidhaa, madeni, gharama na taarifa za biashara zao kwa urahisi.

Kutokana na uzoefu huo na mahitaji tuliyoyaona kwenye sekta ya fedha, tumeleta Peloo — mfumo wa kisasa wa usimamizi wa taasisi za Microfinance.

Hadi sasa, Peloo inatumiwa na Microfinance 27 Tanzania.

Peloo inakusaidia kusimamia kwa urahisi:
✅ Wateja na taarifa zao
✅ Mikopo na marejesho
✅ Ratiba za malipo
✅ Ripoti na ufuatiliaji wa utendaji
✅ Ukumbusho wa marejesho kupitia SMS
✅ Taarifa za biashara kwa wakati halisi

Tumetengeneza Peloo kwa kuzingatia changamoto halisi ambazo taasisi za Microfinance hukutana nazo kila siku.

Kama una Microfinance, tungependa Peloo iwe sehemu ya safari yako ya kidigitali.

👉 Wasiliana nasi kupata demo au unaweza jisajili mwenyewe hapa loan.peloo.app na kujifunza zaidi kuhusu Peloo.
 
Sawa asante malipo yake yakoje
Tuna package 2 za malipo
  • Miezi sita = 500,000
  • Mwaka mmoja = 800,000
Malipo hayo ni kwa branch moja, utapata access ya features zote ndani ya mfumo.
 
Back
Top Bottom