Habari za leo wakuu! Maxmalipo wameanzisha application yao inayoitwa Smartmalipo application ambayo unaweza ku-install na kufanya registration kuwa wakala wa maxmalipo kupitia hiyo application ya Smartmalipo. Swali langu ni, commisions nazipataje ninapotoa huduma zipatikanazo kwenye smartmalipo application? Asante