Smartmalipo kutoka Maxmalipo

Smartmalipo kutoka Maxmalipo

ugali_mchicha

Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
24
Reaction score
0
Habari za leo wakuu! Maxmalipo wameanzisha application yao inayoitwa Smartmalipo application ambayo unaweza ku-install na kufanya registration kuwa wakala wa maxmalipo kupitia hiyo application ya Smartmalipo. Swali langu ni, commisions nazipataje ninapotoa huduma zipatikanazo kwenye smartmalipo application? Asante
 
mimi nina shida kwenye aplikeshen yenu ya smart malipo mbona nikitak kujiunga process zote nafata ila nikifika kwenye picha napiga vzuri ila nkishaeka sain niki done nakuta picha hazipo
 
Back
Top Bottom