upo kama mimiMi simu zenye screen kubwa kubwa ndo ugonjwa wangu. . .
Haijalishi ni 'kampuni' gani
Umeona eeupo kama mimi
Yeah, kama izowanaita phablet. kwa wadada mnaotembea na mikoba siyo shida.
Kama Samsung Galaxy Mega.. na enjoy livestreamMi simu zenye screen kubwa kubwa ndo ugonjwa wangu. . .
Haijalishi ni 'kampuni' gani
Exactly iyo Mega 6.3 19200, hainipi shida bro mfukoni inaingia kabisautakuwa unaenjoy movie. haikupi shida kubeba?
Mkuu yaan ulipo gusa Lenovo nimekubali kuwa upo sahihi na ni zaidi ,ninayo Lenovo s850 ,na hivi leo nimetuma pesa niletewe Lenovo Vibe S1 toka India ,nimekupa salute mkuu!
Mi mwenyewe ninaitumia mkuu