Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huawei ni Chinese Giant Company na Hata Lenovo zinatoka China piaau oneplus. wabongo tuna allergy na mchina.
Owky me nimpenz wa apps sana na games ndo maanaZote zina ubora sawa katika performance. Tofauti ni Storage tu. Yaani uhifadhi wa data, photos, videos, apps na kadhalika. Lakini kama mtu hutaki storage kubwa kwa sababu matumizi huna ya kukufanya ujaze 16GB hakuna ulazima wa kuchukua 32. Kama unataka storage kubwa chukua 32GB Lakini performance zote zipo sawa.
sababu ya fake ndiyo maana Huawei na Tecno zinadharauliwa na kutoaminiwa. hii inasababisha hata simu nzuri kama oneplus, xiaomi au lenovo kutoaminiwa.Huawei ni Chinese Giant Company na Hata Lenovo zinatoka China pia
Ukiasema MChina Inategemea angle gani.....kama Unazungumzia Genuine Products basi Wachina wako Vizuri
na Hata Fake wako Poa Pia
Owky me nimpenz wa apps sana na games ndo maana
C5 inazosifa zote hizo.Natamani sana simu yoyote yenye 4G, RAM 1GB+, ROM 8GB+ kutoka Tecno au Samsung.
sababu hujatumia XIAOMI [emoji23] husingesema hayo tehe tehesababu ya fake ndiyo maana Huawei na Tecno zinadharauliwa na kutoaminiwa. hii inasababisha hata simu nzuri kama oneplus, xiaomi au lenovo kutoaminiwa.
Sawa sawa mkuuC5 inazosifa zote hizo.
Natamani siku nitumie iphoneNapenda simu zenye screen ndogo, lakini powerful katika uwezo. Kuliko kuwa na screen kubwa bora kuwa na tablet. Lakini to a smartphone I feels comfortable ikiwa simple and good.
Always my choices its iPhone. 5S, SE na I hope version ya iPhone 7 sio kubwa sana kama 7 plus.
Logic yangu kuwa, a smartphone ni ile ambayo you can type with one hand na ukiwa comfortable. And still, it's powerful as a computer.
![]()
Simu nzuri Samsung hasa zile zenye pen ya kuandika nazipendaaaMwaka huu nimepanga namimi kumiliki smartphone. Katika pitapita nimetokea kuwa fixated na Lg G5. Nimeipenda mno. nitafanya juu chini niinunue. Ni simu gani wewe imekubamba sana na unatamani kuwa nayo au unayo?
![]()
![]()
![]()
![]()
Natamani siku nitumie iphone
Asante sana.Ni kawaida tu ngugu. May you receive your desires [emoji120]
Pow nikikosa ntacheki hiyo hiyo tyu 16 kama vipThere is nothing to do with 16 au 32. Zote zina specifications sawa tofauti ni storage tu. RAM, CPU, architect na Chips ni zilezile ila ni storage tu ndio tofauti. So hata 16 inatosha for games. It depend.
Ila tafuta 32 if you needs space kubwa sana.