Smartphone gani unaitamani na kuikubali sana?

Natamani sana simu yoyote yenye 4G, RAM 1GB+, ROM 8GB+ kutoka Tecno au Samsung.
 
Htc m 8 ni nzuri internal storage yake ni GB 16 na ukipata ya German ni bombaa. Nina friends wangu walinitunia kwa $ 240
 
Napenda simu zenye screen ndogo, lakini powerful katika uwezo. Kuliko kuwa na screen kubwa bora kuwa na tablet. Lakini to a smartphone I feels comfortable ikiwa simple and good.

Always my choices its iPhone. 5S, SE na I hope version ya iPhone 7 sio kubwa sana kama 7 plus.

Logic yangu kuwa, a smartphone ni ile ambayo you can type with one hand na ukiwa comfortable. And still, it's powerful as a computer.

 
Mkuu iyo yako
ni Gb ngap?? Cz mwenyew nataka kanunua 5s sasa
 
jf inamatatizo nimekuquote bahati mbaya. namimi nilikuwa nashangaa kama kuna galaxy s8. ila RAM ya 1GB huoni kuwa ndogo sana?
Sasa hivi natumia y3+ yenye RAM 512MB, kwa hiyo sitapata tabu sana nikipata simu yenye RAM kubwa zaidi ya hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…