Smartphone gani unaitamani na kuikubali sana?

Xiaomi Smart phones ni simu nzuri kuliko LG, Huawei hata Lenovo Thou watu wengi hawazijui

Baada ya Iphone na Samsung galaxy

Xiaomi Redmi Pro ni Shida
au oneplus. wabongo tuna allergy na mchina.
 
au oneplus. wabongo tuna allergy na mchina.
Huawei ni Chinese Giant Company na Hata Lenovo zinatoka China pia

Ukiasema MChina Inategemea angle gani.....kama Unazungumzia Genuine Products basi Wachina wako Vizuri

na Hata Fake wako Poa Pia
 
Owky me nimpenz wa apps sana na games ndo maana
 
Huawei ni Chinese Giant Company na Hata Lenovo zinatoka China pia

Ukiasema MChina Inategemea angle gani.....kama Unazungumzia Genuine Products basi Wachina wako Vizuri

na Hata Fake wako Poa Pia
sababu ya fake ndiyo maana Huawei na Tecno zinadharauliwa na kutoaminiwa. hii inasababisha hata simu nzuri kama oneplus, xiaomi au lenovo kutoaminiwa.
 
Owky me nimpenz wa apps sana na games ndo maana

There is nothing to do with 16 au 32. Zote zina specifications sawa tofauti ni storage tu. RAM, CPU, architect na Chips ni zilezile ila ni storage tu ndio tofauti. So hata 16 inatosha for games. It depend.

Ila tafuta 32 if you needs space kubwa sana.
 
sababu ya fake ndiyo maana Huawei na Tecno zinadharauliwa na kutoaminiwa. hii inasababisha hata simu nzuri kama oneplus, xiaomi au lenovo kutoaminiwa.
sababu hujatumia XIAOMI [emoji23] husingesema hayo tehe tehe

By the way Tecno sio Simu za Wachina bali ni NIGERIA zimekuwa Assembled China tu ila Hata Sokoni China haziko

Xiaomi ni Kampuni inawapumulia Kwa kasi Apple na Samsung ni among 5 major Companies za Smart phone duniani

Bro dhana na Ufeki ni uongo maana Hakuna simu zina Clone kama Samsung yaani uwe mtaalamu sana Kutoingizwa King!!

sababu kubwa ya Xiaomi kutokuwa na Umaarufu nadhani Hawajaweka nguvu zao soko la Afrika kama walivyojiwekea Ulaya na america na Asia

Ila Kuna maduka yanauza Xiaomi pale Mobile Plaza

Unaweza Google Top 10 giant Smart phones makers utanipa Feedback
 
Natamani siku nitumie iphone
 
Mwaka huu nimepanga namimi kumiliki smartphone. Katika pitapita nimetokea kuwa fixated na Lg G5. Nimeipenda mno. nitafanya juu chini niinunue. Ni simu gani wewe imekubamba sana na unatamani kuwa nayo au unayo?
Simu nzuri Samsung hasa zile zenye pen ya kuandika nazipendaaa
 
Pow nikikosa ntacheki hiyo hiyo tyu 16 kama vip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…