Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,172
Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.

Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.
simu za Samsung sio mbaya sana kwa hela hiyo, utapata simu nzuri sana! Sony experia pia zipo bomba sana! Ama chukua mzigo wa HTC ule maisha! Ila ukiweza kuongeza laki u nusu saaaafi upate kitu mithili ya laptop!
 
kwa sasa kidogo bajet yangu haijakaa vizuri>>niko na kiasi hicho tu mkuu...HTC gani naweza pata naomba unitajie aina mkuu nitashukuru sana
 
wakuu mimi nina laki mbili ipi simu ya android nzur nitapata!
 
Tumia pantech pocket ni nzuri sana 4g speed na ni made in Korea . Kama unaitaka nipm nikuelekeze kwa kununua
 
Ila huyu jamaa kasema ana laki tatu na nusu. Hizo y300 watu wengi wanalalamika swala la mic. Nadhan ndo tatizo lake kubwa.

Hivi hazifai kuweka moc za simu nyingine ukaendelea kuenjoy na kitu huawei?
 
yani huawei y300 zinasumbua sana
 
Piga hiyo No: +255754290135 or +255688290135
Mr Noorman Muulize mahitaji ya simu hasa
HTC wild fire etc.
Good luck!!
 
chief-mkwawa Nimefanikiwa kupata HTC Sensation XE.. second hand from UK tatizo limebaki Ku-unlock Network>>>Nimesikia mtaani wanafanya kuanzia 15000 nipeni maujanja wadau niweze unlock mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…