Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Mkuu unasemaje kuhusu hizi simu za Sharp Aquos . Naona zina specs nzuri halafu bei kidogo imepoa, vipi ubora wake pia?!
Mkuu ushauri ni kama Ulio Quote, kuna Aquous nyingi mno kuanzia Lowend hadi flagship, vyema uangalie specific model unayotaka kununua.
 
Mkuu kuna hizi mbili Aquos R5G na Aquos R6. Nimependa specs zake, vipi kwenye shida ya mtandao hazisumbui?!

Yanaweza kuwa maamuzi sahihi kuachana na Pixel 5 kwenda kwenye mojawapo ya hizo?! Binafsi napendelea simu yenye picha nzuri!
 
R5G ni flagship itakua na Camera nzuri ila battery dogo na ishatumika, ukaaji Chaji utakua Mbovu. Kuhusu network band zetu zipo ila signal strength sina uhakika.

R6 ni katika simu bora zaidi Camera wise upande wa hardware, issue ni kwamba sio point and shoot, ni simu inayotaka mtu awe mtaalam wa kucheza na camera za simu, Nasikia Ukiweka Gcam ina solve hili tatizo ila sijajua kwa ufanisi gani, unaweza ukaitest dukani uone inakupa result gani. Nayo pia ina band za kwetu huku. Weakness ya hii simu inatumia snapdragon 888 soc ambayo ina matatizo ya ku overheat.
 
Asante sana mkuu... Namm nilikuwa nafikiria kuhusu kutumia gcam.

....disappointing kumbe hiyo r5g ina kama home button hapo mbele na kioo LCD.

....nitaangalia zaidi hiyo R6, camera yake naona itakuwa poa zaidi with gcam.

....kwa uzoefu wako, ina overheat hata kwenye matumizi ya kawaida maana mimi sio heavy gamer.

Ila hebu ngoja niitafute kwanza nitakuja na mrejesho.
 
Mkuu Camera ni katika matumizi heavy, especially kama una record video, simu nyingi zina overheat vibaya mno zinapo record video. Hili nalo pia unaweza test hapo hapo kurecord 4K video.
 
Ni kweli nilishawahi kuona hii kitu...ila nikiishika nitajua zaidi. Nasoma reviews zake mtandaoni naona zinakandiwa kwa hayo matatizo
 
Simu zote za Sd 888 zipo hivi na sd 8 gen 1. So mwaka 2021 na 2022 flagship zake ni za kuwa nazo makini.

Baadhi ya simu kama Samsung version zao mpya zina option ya light mode ambayo ina Underclock cpu 70% ya uwezo wake, inasaidia kupunguza joto kwenye simu. Unaweza pia cheki kwenye battery settings kama inasaidia.
 
Pamoja mkuu! Matumizi yangu sio makubwa ikinipendeza machoni nitajilipua nayo. Nitarudi kwa mrejesho pia.
 
Simu zote za Sd 888 zipo hivi na sd 8 gen 1. So mwaka 2021 na 2022 flagship zake ni za kuwa nazo makini.

Baadhi ya simu kama Samsung version zao mpya zina option ya light mode ambayo ina Underclock cpu 70% ya uwezo wake, inasaidia kupunguza joto kwenye simu. Unaweza pia cheki kwenye battery settings kama inasaidia.
Mkuu nimepata Ile Simu Iko poa sana, very smooth..Haina kupata joto labda kwa sababu sina matumizi makubwa zaidi ya kuperuzi tu mtandaoni.

Kwenye battery nayo sio disappointing kihivyoo...nilitoka nayo home kwenye mihangaiko asubuhi mpaka narudi usiku ipo na 19% hapo data on siku nzima, napokea texts Whatsapp etc, naperuzi kidogo, napigapiga picha.

...camera yake kiukweli haina maajabu lakini niliweka gcam.
 
Inabidi sasa ujifunze namna ya kuitumia, maana ni 1 inch sensor hio, hardware yake inakaribia proffesional Dslr.
 
Hapo Tena mpaka nikikaa kwa kutulia nitapitia niianglie vizuri nicheki na mtandaoni wadau wansemaje. Ila Jana niliona XDA kule kuna mtu ameweka best gcam version na config file lake. Nataka nikirudi nieke bundle nilishushe nione pia
 
Hata mimi niliona output za hio simu Xda zilikua nzuri sana.

Sawa mkuu..nitazijaribu zote nione ipi ipo na best results
 
Simu zote za Sd 888 zipo hivi na sd 8 gen 1. So mwaka 2021 na 2022 flagship zake ni za kuwa nazo makini.

Baadhi ya simu kama Samsung version zao mpya zina option ya light mode ambayo ina Underclock cpu 70% ya uwezo wake, inasaidia kupunguza joto kwenye simu. Unaweza pia cheki kwenye battery settings kama inasaidia.
Mkuu kati ya hiyo R6 na Note 10 plus unarecommend ipi?
 
Back
Top Bottom