R5G ni flagship itakua na Camera nzuri ila battery dogo na ishatumika, ukaaji Chaji utakua Mbovu. Kuhusu network band zetu zipo ila signal strength sina uhakika.
R6 ni katika simu bora zaidi Camera wise upande wa hardware, issue ni kwamba sio point and shoot, ni simu inayotaka mtu awe mtaalam wa kucheza na camera za simu, Nasikia Ukiweka Gcam ina solve hili tatizo ila sijajua kwa ufanisi gani, unaweza ukaitest dukani uone inakupa result gani. Nayo pia ina band za kwetu huku. Weakness ya hii simu inatumia snapdragon 888 soc ambayo ina matatizo ya ku overheat.