Smartphone

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
mzee kanitumia sms "njoo upike ugali mboga tayari" kwa haraka haraka zangu nikajibu OWA badala ya POA

saiz nipo nyumbani hapo naona mabegi yangu ya nguo yote yapo nje itakuwa mzee anafanya usafi ndani...

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Duh kweli hatar
 
Hahaha et owa mambo ya simati foni hayo. ha ha ha
 
Haghahaa,,, niliwahi kuandik ku***a,, badala ya "kuna" ,,niliyemtumia akanambia hebu rudia kuisom text uliyotuma,, nilipoiangalia mara ya pili duuu, nilitamn muda urudi nyuma…!!
 
Umenikumbusha ninabro wangu mmoja badala ya kumwandikia bosi "bado umelala?" ye akaandika bosi bado umelalwa? Siku hizi naona anatembea na bahasha ya kaki sijui sababu ni nini kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…