anaenda kuhakiki vyeti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha ninabro wangu mmoja badala ya kumwandikia bosi "bado umelala?" ye akaandika bosi bado umelalwa? Siku hizi naona anatembea na bahasha ya kaki sijui sababu ni nini kweli