Smartphones can now connect directly to Starlink satellites

Yaani kwamba? Hizi laini zitakua hazitumiki au?
Yes, hata miaka ya 97 huko ulikuwa ukinunua simu tritel au mobitel unakamata kimotorora chako hakina simcard ilikuwa integrated huwezi hama kampuni.

Sasa hivi wameboresha ni esim simu nyingi za kisasa zinazokuja wanaanza kupunguza mambo ya simcard.
 
unamlipa nani mitandao ya simu au starlink.? na kama unalimpa starlink je,mitandao ya simu itakubali yaami utumie simu yako uliyoweka line yao mfano Voda au airtel eti uitumie kuperuzi starlink alafu wao wanapata nini? hapo labda wagawane mapato au starlink wawe na laini zao spesho za internet zitakazo link moja kwa moja na satelaiti zao..ila hio kutegemea kina voda wakati umempunguzia wateja wake thubutuu..!
 
Hizi simu tunazotumia hazina uwezo huo, kama ambavyo simu isiyo na 5G alafu uweke simcard inayo support 5G hautapata hiyo kasi.

Kwa hiyo watashirikiana na kampuni zinazotengeneza eletronic devices kuhakikisha zinakuwa na access hiyo.
 
Yes, hata miaka ya 97 huko ulikuwa ukinunua simu tritel au mobitel unakamata kimotorora chako hakina simcard ilikuwa integrated huwezi hama kampuni.

Sasa hivi wameboresha ni esim simu nyingi za kisasa zinazokuja wanaanza kupunguza mambo ya simcard.
Unyama sana, Jamaa anataka ashikilie dunia...!!
 
Thanks for clarification nilijua labda naweza kupiga simu kwa data bundle kumbe ni quality ya sauti pekee ila hatua nzuri kwao.
 
baada ya miaka 10 asilimia 80 ya watu watakuwa na huduma ya star link, halafu Elon Musk atakuwa na data zao zote, kuanzia rentinal scan kwenye camera, fingerprint, location, internet search hisyory, etc.
Hilo ni jambo la kawaida hata jamii forum wanadata zako zote boss cha msingi ni utunzi wa Privacy policy nzuri.
 
Sasa Yas na wenzake watapona kweli...?
 
Unawaza kikobazi tu. Tupa simu hiyo na nguo vua kavae mamiti maana mzungu kakuletea vyote hivyo. Kobazi
Huyu ni Pro Arab yeye na kobaz wanzake wanadai kuna Arabs wana utajiri zaidi ya Ellon.
 
Nimegundu huu uzi unawachangiaji wenye uelewa mdogo kidogo. Watu wenye uelewa karibu.
Uko Sahihi Mkuu, Hakuna Kipya Kwenye Satellite mi pia nimewaza watu hawasomi Kabisa, Kwenye Uzi Wa Poster unasema izo Satellite Phone zitasaidia Maeneo Remote zaidi meaning huhitaji Connectivity to the Satellite kama Una Cellsite(Minara) Mingi
Watu wako excited na Neno Sattelite wanasahu Mfumo huo wa Mawasiliano ni kama Wa ziada kwa eneo ambalo hakuna Mawasiliano ya Vitu kama Minara au Fiber
 
Thanks for clarification nilijua labda naweza kupiga simu kwa data bundle kumbe ni quality ya sauti pekee ila hatua nzuri kwao.
VolTE Nadhani wanayo Voda na Tigo tu, Na ita support ikiwa una simu inayo support VOLTE
Ni nzuri kwasababu ina Improve sound quality ya Simu na Pia Simu haihataji Kurudi kwenye 2G itabaki pale pale kwenye 4G au LTE na Kumake call over that Channel
 
Kitakacho pelekea Satellite ipendwe sana ni bei za vifurushi. Kuna uwezekano watu wote wakachagua kutumia Satellite kwasababu bei za vifurushi ni ndogo.
 
Serikali ya Tanzania chini ya mama yetu walishakataa hii starlink .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…