#SmartRetail one side hustle

#SmartRetail one side hustle

Dam Boe

Senior Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
128
Reaction score
90
Habari wakuu, Natumai kila mmoja yuko njema kwenye majukumu yake.
Leo nimeona niwasogezee wanajf hii fursa ambayo inatokana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia na si nyingine ni hii Smart Retail.
Smart Retail bwana hii ni platform ambayo inakuwezesha wewe kuinvest katika uuzaji wa bidhaa ndogondogo za matumizi ya binadamu, ikihusisha bidhaa kama vile Vinywaji, Vyakula n.k.
Sasa hii unaweza ukajiunga na kuanza kuinvest pesa yako na ukavuna mara baada ya mzunguko wa siku ulizoinvest kukamilika na uzuri ni kwamba hakuna hasara wala bidhaa iharibike wewe utainvest baada ya siku za uwekezaji kukamilika utavuna pesa yako. Pia unaweza kuwasiliana na mhudumu kutoka Smart Retail pindi unapopatwa na changamoto yoyote kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa tatu usiku.
Kwa anayehitaji kufahamu zaidi au kuwekeza katika platform hiyo ani PM kwa maelezo zaidi.
Pia ukiwithdraw pesa yako utaipata ndani ya masaa 24 isipokuwa siku za jumamosi na jumapili ambayo ni mapumziko pia unatoa na kuweka pesa yako kupitia akaunti ya simu au hata kwa kadi ya benki yoyote.

NB:Tuamkeni jamani hususan vijana ili tuende na kasi ya mabadiliko ya ulimwengu hizi platform si za kitapeli leo nimewapa SMART RETAIL awamu nyingine nitarudi na BLOCKCHAIN pamoja na FOREX. Ni wakati sasa wa kuwa na ofisi inayotembea huku ukijiingizia kipato wakati umelala.
Screenshot_20230727-140018.jpg
Screenshot_20230727-135930.jpg
Screenshot_20230727-135921.jpg
Screenshot_20230727-135910.jpg
Screenshot_20230727-140003.jpg
Screenshot_20230727-135945.jpg
 
Tayari tushalizwa huko maaamaa[emoji22][emoji22][emoji22]eeeh
 
Nilijua tu lakin nikaweka hela [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom