monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Tupo lumo njia ya kuelekea buza boss wanguWeka location vizuri nikucheki.
SawaTupo lumo njia ya kuelekea buza boss wangu
Delivery mfano kuna Iringa bei ganii....na zinakaa na chaji muda ganii??OFFER, OFFER, OFFER
SMARTWATCH 9, 2023
(M59 ULTRA SMARTWATCH)
Tsh 38,000 kwa Pc moja
Jumla tsh 35,000 kuanzia PCS tatu
💧Ina mikanda miwili
💧Ina Bluetooth
💧Wireless charger
💧Inapiga na kupokea simu
💧Inapokea notifications za whatsapp, instagram, facebook, tiktok etc
💧Ina creen kubwa 2.19 inch full touch creen
💧Zipo rangi black, grey, pink na orange
♀️Call/whatsap 0692402211
♀️Tunapatikana lumo (malawi hospital)
♀️Tunafanya delivery Dar es salaam na mikoani
KARIBUNI
View attachment 2729895View attachment 2729897View attachment 2729899
Kuhusu delivery inategemea na bei ya basi husika na ukaaji na charge pia inategemea na matumizi yako mfano kuna ananunua saa halafu anaitumia kama simu kupiga na kupokea simu, kusoma sms za whatsapp, instagram na mitandao mingine ya kijamii hivyo saa inakua bize mno hapo haitakaa muda mrefuDelivery mfano kuna Iringa bei ganii....na zinakaa na chaji muda ganii??
Kwani matumizi yake makubwa ni nini ?Kuhusu delivery inategemea na bei ya basi husika na ukaaji na charge pia inategemea na matumizi yako mfano kuna ananunua saa halafu anaitumia kama simu kupiga na kupokea simu, kusoma sms za whatsapp, instagram na mitandao mingine ya kijamii hivyo saa inakua bize mno hapo haitakaa muda mrefu
Inafanya kazi kama msaidizi wa smartphone mfano; inahifadhi majina, kupiga na kupokea simu unaweza pata notifications za whatsapp, instagram, facebook, tiktok na sms za kawaida pia unaweza kusevu picha kwa screen ya simuNipe faida za kuwa na smart watch maana mimi mgeni wa hivyo vitu huwa nasikia tu.
Health monitoring kama zipi inaweza kugundua..?Kuhusu chaji zipo vizuri tu mimi yangu sijaichaji siku ya tatu leo mimi siitumii kama simu naitumia kuangalia muda na health monitoring.
Kuhusu health monitoring nahisi ni kama promo tu ndo maana hata kwenye maelezo sikuandika mimi kwa upande wangu Siamini sana hiyo kituHealth monitoring kama zipi inaweza kugundua..?
Nakubaliana na wewe mkuu yani ukiangalia idadi ya hatua ulizopiga unaona kabisa sio kweli halafu vile vipimo blood pressure,blood oxygen na heartbeat sidhani kama ni accurate kuna uongo flani hivi ni kama simulation tu haiko real..Kuhusu health monitoring nahisi ni kama promo tu ndo maana hata kwenye maelezo sikuandika mimi kwa upande wangu Siamini sana hiyo kitu
Kuna hela naisikilizia nitakuja kuchukua moja InshaAllah ,bahati nzuri mitaa ya huko mwenyeji nimekaa sana Miteda karibu na malawi hospital.Inafanya kazi kama msaidizi wa smartphone mfano; inahifadhi majina, kupiga na kupokea simu unaweza pata notifications za whatsapp, instagram, facebook, tiktok na sms za kawaida pia unaweza kusevu picha kwa screen ya simu