adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Unaweza kukuconnect na pods ukaplay na kisikiliza audio ?
Je inakuwa na uwezo wa kuhifadhi audio kama ndio storage yake inakuwa ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuconnect na pods ukaplay na kisikiliza audio ?
Wewe unatumia aina gani ?Kuhusu chaji zipo vizuri tu mimi yangu sijaichaji siku ya tatu leo mimi siitumii kama simu naitumia kuangalia muda na health monitoring.
Hii hapa inaitwa t500 watcg ultra nipo nayo kama wiki mbili hiviWewe unatumia aina gani ?
Hii hapa inaitwa t500 watcg ultra nipo nayo kama wiki mbili hiviView attachment 2733995Wewe unatumia aina gani ?
Karibu sana boss wanguKuna hela naisikilizia nitakuja kuchukua moja InshaAllah ,bahati nzuri mitaa ya huko mwenyeji nimekaa sana Miteda karibu na malawi hospital.
Ahsante ,weekend hii naweza kuja hapo panapo maajiwa.Karibu sana boss wangu
Hapa hujanipa jibu mkuu @monetheist kama zinakuwa na uwezo wa kuplay audio kama ipo ,storage uwezo wa kuconnect na pods Via bluetooth.Unaweza kukuconnect na pods ukaplay na kisikiliza audio ?
Je inakuwa na uwezo wa kuhifadhi audio kama ndio storage yake inakuwa ngapi ?
Haiwezekani boss ili uitumie kama simu unahitaji kuconnect na applicationa ambayo itakua kwenye simu yako kisha unawasha Bluetooth ya simu na saa hapo utaweza kuitumia saa kama kisaidizi cha simu yako kwa pods haitawezekana bossHapa hujanipa jibu mkuu @monetheist kama zinakuwa na uwezo wa kuplay audio kama ipo ,storage uwezo wa kuconnect na pods Via bluetooth.
You are welcomeI will have one next month