Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,271 Reaction score 1,828 Oct 19, 2024 #2 Kwasisi tusiokuwa na reseni ya biashara na tin namba zetu sio zakibiashara apo inakuaje.?
Lello199 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 1,385 Reaction score 3,545 Oct 19, 2024 #3 Kama ni Bure tuelekeze hapa hapa sisi wenye hizo tin tujiunge wenyewe
K Kng Dav II Member Joined Oct 13, 2016 Posts 15 Reaction score 9 Oct 19, 2024 Thread starter #4 Majan said: Kwasisi tusiokuwa na reseni ya biashara na tin namba zetu sio zakibiashara apo inakuaje.? Click to expand... Nitafute kwa hyo namba
Majan said: Kwasisi tusiokuwa na reseni ya biashara na tin namba zetu sio zakibiashara apo inakuaje.? Click to expand... Nitafute kwa hyo namba
K Kng Dav II Member Joined Oct 13, 2016 Posts 15 Reaction score 9 Oct 19, 2024 Thread starter #5 Lello199 said: Kama ni Bure tuelekeze hapa hapa sisi wenye hizo tin tujiunge wenyewe Click to expand... Mimi nakuwezesha laini iwe na menu ya vifurushi hivyo. Kujiunga utajiunga wewe mwenyewe
Lello199 said: Kama ni Bure tuelekeze hapa hapa sisi wenye hizo tin tujiunge wenyewe Click to expand... Mimi nakuwezesha laini iwe na menu ya vifurushi hivyo. Kujiunga utajiunga wewe mwenyewe
alpha1 JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 228 Reaction score 110 Oct 27, 2024 #6 Je kifurushi cha SME kikiisha kabla ya mwezi ninaweza kununua kingine na ikakubalika kama tunavyonunua vifurushi vya kawaida?
Je kifurushi cha SME kikiisha kabla ya mwezi ninaweza kununua kingine na ikakubalika kama tunavyonunua vifurushi vya kawaida?