Tetesi: Smile Communications Tanzania ipo Taabani.....

wao ndio wanajua sababu ya kutotaka kuwekeza zaidi,hizi hisia zenu ni ndoto tu.

By the time utakapokuja kufunguliwa ufahamu utakuja kuelewa tunachokielewa wenzio sasa. It may take time; lakini lazima ipo siku utaelewa. Keep being comforted in an ignorant bliss you are currently in.
 
By the time utakapokuja kufunguliwa ufahamu utakuja kuelewa tunachokielewa wenzio sasa. It may take time; lakini lazima ipo siku utaelewa. Keep being comforted in an ignorant bliss you are currently in.
tunajua mnaelewa sana kuzidi watu wengine,kama tz ni nchi ambayo kila kampuni inatakiwa kupata faida na kukua,basi tz si nchi ya ulimwengu huu
 
Smile itasikitisha sana. Jamaa 4G yao naikubali sana. Hata hapa naitumia. Nimekua nao kwenye streaming kitambo na hawajawahi niangusha, Dar, Moro na Arusha. Mungu saidia
 
Smile gharama zao kubwa, wateja wachache sana, nadhani walitegemea sana corporates kabla ujio wa 4g kwa mitandao mingine, kwa hali ya sasa ni dhahiri kila shirika ama kampuni ni lazima wapunguze matumizi, ukizingatia 4g ipo kwa voda, tigo, ttcl na huduma za fiber pia sioni nafasi ya smile surviving, ila ni mawazo yangu tu inawezekana yakawa sio sababu kwa upande mwingine.
 
Hilo nalo ni moja ya mafanikio ya awamu ya tano.
 
Bei zao kubwa Sana na biashara ya network ina competition kubwa Sana
 
fursa ya uwekezaji hiyo wauze hisa zao kampuni iamke tupige pesa maana kweli naona mbaya sana
 
Unaweza ukatuambia biashara yao ilikua inategemea ujanja upi?
kwani lazma kila kampuni ikianzisha biashara Tanzania ifanikiwe na kustawi???mm naona ni jambo la kawaida hata hawa smile kufungasha sabab tatizo linaweza lisiwe kwao na kwa mamlaka (serikali),tatzo linaweza likawa kwa wailowatarget kuwa ndyo soko lao(Mimi na wewe),mm naona sio tatzo kwa sababu sio biashara zote zinafungwa Tanzania,na sio biashara zote lazima zistawi na kufanikikwa na kukua zaidi zikianzishwa Tanzania
 
Swali nililouliza ni kwa yule aliesema biashara za janja janja lazima zife awamu hii, smile imekuwepo kwa muda mrefu sio biashara ya jana au juzi..naona umetolea ufafanuzi kukua na kustawi biashara zilizoanzishwa Tanzania kitu ambacho ni nje ya swali nililouliza...
 
Nawatumia Arusha na Mbeya bila matatizo mpaka hii leo, Internet yao iko speed sana na nimeona ndio chaguo la kampuni na biashara nyingi. Pia kwa watu wanaofanya kazi online wengi wanatumia huu mtandao kwasababu ya speed na stability.

Huwa naunga "kila siku" kifurushi cha smile daily napewa gb 2 kwa elfu mbili
 
Vya 500 vipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…