smiley gani unaipenda? katika mazingira gani?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Mimi naipenda
:biggrin1:

inaposemwa kwenye mazingira ambayo mtu amechangia kitu mbacho hakifai au kinachekesha so anamalizia kwa kucheka!

Mfano mtu anaomba ushauri kule MMU
-ndugu yake wa damu anamtega!
Mtu mwingine anamshauri
-mle tu:biggrin1:


naipenda pia hii!
 
Nakupenda wewe mwenyewe ulivyolipuliza asubuhi yote hii.
 
napenda arufu ya....embu mamndenyi nikumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…